Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hauko sahihi kwenye hili.

Tatizo ni TFF, lakini at least kwa sasa tutaanza vyema kwa Taifa Stars baada ya Kim Poulsen kuanza na hii ilikua ni kutest wachezaji aliowachagua na walikua kambini siku chache zisizo pungua 6, na wachezaji wengi mno waliochaguliwa bado hawajajiunga na timu watajiunga wakiwamo wachezaji wote wa Simba.

Wachezaji wa Simba watajiunga hapo kwenye Kambi Nairobi kabla ya kuelekea Guinea na wengine watajiunga huko Guinea.
Mkuu natambua uwepo wako, iko hivi Tanzania hatujui mpira over.

Hapa tatizo wala sio uwepo wa wachezaji wa Simba, kwn hao wachezaji wa Simba ni kina nani? Wana mafanikio gn ktk soka la ngazi ya kimataifa au hata kwa ngazi ya vilabu? Tanzania tangu enzi na enzi tumekuwa tukisema kuwa tuna vipaji lkn haijawahi kutokea tumetoboa kwenye soka, km tatizo ni tff je unataka kuniambia mashirikisho ya mpira nchi zingine za Afrika mfano Kenya yapo vzr? Hivi tunapata tabu kuwafunga hata Kenya, au Burundi ndio kusema tatizo ni tff?

Sio kweli mkuu tatizo ni kwamba cc mpira haututaki japo tunaupenda sn, wachezaji wetu hawafundishiki mana huwezi kuniambia eti tatizo wachezaji hawaanzii kwenye Academy je hao wachezaji wa kiafrika wanaowika huko nje wote wamepitia kwenye Academy? Tunawaona kina Mane Sadio wala hawajapitia kwenye Academy lkn wanakiwasha, hawa wachezaji wetu wa kiafrika wote wanafanana fanana njia zilezile tu, nothing new but the problem ni kwamba sisi mpira hatujui kabisa hata tulete Ferguson, na wala sio ajabu Mana tunaona mataifa mfano England wame invest mno kwenye soka lkn wanachokipata ni tofauti na walicho invest.

Hata tuweke watoto Academy ila issue iko pale pale kwamba naamini sisi watz mpira umetukataa, hao Simba unaowaona wanang'ara Afrika ni kwasababu ya wachezaji wa kigeni kina Chama na kina Mickson but km wangewaweka Watz watupu believe me my friend tusingefika popote.
 
Juzi nilipoyaona yamepanda ndege yanaelekea Kenya nikajisemea kimoyo moyo "Haya mafala yanaenda kutuharibia hali ya hewa kwenye thread yetu" na kweli imekuwa hivyo, ni mazembe sn haya mamtu.
 
Tatizo wachezaji wa bongo wanaridhika sana utasikia wanaitana fundi wenyewe kwa wenyewe . Wengi hawana tamaa ya mafanikio zaidi . Atleast vijana wa kuanzia miaka ya 2000 wanaenda tafuta exposure huko mbele. Manyang'au ngoja watambe kwa kushinda leo
 
Yanashindwa kutambua kwamba hii nchi hasimu wake mkubwa ni nani, kule Afcon yalifungwa kizembe kwa ujinga wao, yakashindwa hata kutoa sare na Kunyaland, hv km tunashindwa kuwafunga Kenya ambao wako taabani kwenye soka kwa ss tutamfunga nani?
 
Tatizo wachezaji wa bongo wanaridhika sana utasikia wanaitana fundi wenyewe kwa wenyewe . Wengi hawana tamaa ya mafanikio zaidi . Atleast vijana wa kuanzia miaka ya 2000 wanaenda tafuta exposure huko mbele. Manyang'au ngoja watambe kwa kushinda leo
Kila mechi yakicheza yanafungwa, ushindi wao ni sare, utakuta yanaongoza mpk dk ya 80 ila full time utakuta yamefungwa, masenge sn haya Taifa stars tunapoteza pesa za bure kabisa kwa hili litimu, km yupo player wa taifa stars humu au relative wa player wa taifa stars atanisamehe ila aelewe kwamba mm huwa nmeacha kuyaangalia cku hz.
 
Alafu yakishatoka kugongwa utasikia kirahisi rahisi yanakuambia "Kwenye mpira kuna matokeo ya aina tatu kushinda, kufungwa au kutoa sare" wtf.
 
Mkuu natambua uwepo wako, iko hivi Tanzania hatujui mpira over.

Hapa tatizo wala sio uwepo wa wachezaji wa Simba, kwn hao wachezaji wa Simba ni kina nani? Wana mafanikio gn ktk soka la ngazi ya kimataifa au hata kwa ngazi ya vilabu? Tanzania tangu enzi na enzi tumekuwa tukisema kuwa tuna vipaji lkn haijawahi kutokea tumetoboa kwenye soka, km tatizo ni tff je unataka kuniambia mashirikisho ya mpira nchi zingine za Afrika mfano Kenya yapo vzr? Hivi tunapata tabu kuwafunga hata Kenya, au Burundi ndio kusema tatizo ni tff?

Sio kweli mkuu tatizo ni kwamba cc mpira haututaki japo tunaupenda sn, wachezaji wetu hawafundishiki mana huwezi kuniambia eti tatizo wachezaji hawaanzii kwenye Academy je hao wachezaji wa kiafrika wanaowika huko nje wote wamepitia kwenye Academy? Tunawaona kina Mane Sadio wala hawajapitia kwenye Academy lkn wanakiwasha, hawa wachezaji wetu wa kiafrika wote wanafanana fanana njia zilezile tu, nothing new but the problem ni kwamba sisi mpira hatujui kabisa hata tulete Ferguson, na wala sio ajabu Mana tunaona mataifa mfano England wame invest mno kwenye soka lkn wanachokipata ni tofauti na walicho invest.

Hata tuweke watoto Academy ila issue iko pale pale kwamba naamini sisi watz mpira umetukataa, hao Simba unaowaona wanang'ara Afrika ni kwasababu ya wachezaji wa kigeni kina Chama na kina Mickson but km wangewaweka Watz watupu believe me my friend tusingefika popote.

Haipo hovyo.

Lazima ujue ni kwamba, since 1960 inchi ilikua inaendeshwa kijamaa na mpira ilikua ni swala la kujifurahisha tu na sio swala siriaz na vijana waliokua wakicheza mpira walitengenezewa mazingira ya kuonekana ni wajinga na wanafanya mambo ya kipumbavu na msimamo uliwekwa kwenye elimu -- hii ilikatisha iliua michezo kwakau haikua ni sehemu ya sera ya kutengeneza ajira.

Ndio maana leo hii, hatupo kwenye riadha na michezo mingine ngazi ya kimataifa apart from ngumi. Ngumi moja ya sababu ni mfumo wa kutengeza manunda ambao wangejiunga jeshi na ukomandoo. leo hii kitaa vijana wengi ngumi jiwe, ukimuweka Mkenya yeyete na Mtanzania lazima Mkenya anye!

Sasa, kipindi cha 1990s kulikua hakuna uwekezaji wowote kwenye Mpira wala michezo, na hakukua na mfumo wowote na serikali ilikua haina pesa na priority ilikua kuutoa uchumi kwenye tope na pale TFF walitokea wajanja wakinas Ndolanga ndio wakaaribu kabisa kwa upigaji. Mpira tumanza vyema kipindi cha Kikwete na rais wa TFF Tenga alijitahidi na mwanga ukaanza kuonekana but alipo toka Malinzi aliharibu kwa kutaka kuanza upya, alipoenda jela, akaja Karia huyu mmbwa nae aliharibu kwa kuwaleta wakina Amunike.

Tanzania kisoka, ngazi ya taifa or club inaitaji uwekezaji wa nguvu kwenye bench la ufundi, kocha bora na sio wababaishaji.

Ndani ya Kim Poulsen soon, utaipenda Stars. Nipo hapa utanikumbuka.
 
Juzi nilipoyaona yamepanda ndege yanaelekea Kenya nikajisemea kimoyo moyo "Haya mafala yanaenda kutuharibia hali ya hewa kwenye thread yetu" na kweli imekuwa hivyo, ni mazembe sn haya mamtu.
team ya taifa ya bongo inaenda kufa

First 11 Ya Yanga waTz 5 Tena hamna fowards

First eleven ya Simba waTz 3 Tena Ni FB na kipa

Wachezaji wanaocheza nje na kutegemewa ni wawl Msuva & Samatta

Hapa tunategemea nini, Kama sio nchimbi kuanza first eleven
 
Ndo mana nikasema cc mpira tutasubiri sn japo tunaupenda, hv km kweli wachezaji wetu wapo serious wanakosa namba Simba na Yanga alafu ndio waende kupata namba ulaya? Kwakweli km watakuwepo basi ni mmoja tu ambaye ndiye huyo huyo.
 
Naona soko la dhahabu limekaa vizuri sana. Yani na utalii ungekuwa vizuri bila kuwepo corona nadhani nchi ingekuwa kwenye position nzuri sana.

Hakika the future is promising.
Usiwe na shaka, ndege ya mizigo ikija mazao yanaweza tuingizia zaidi ya hiyo.
Lets see kama mchina hatoipata ..wanaweza pewa hata ya Isaka -Kigali kama mchina atachukua makutupora -isaka
Yapi wamepewa muda wa kumalizia #1 kabla ya kupewa tenda nyingine. Unajua hii miradi ni zaidi ya biashara, ni kujenga pia mahusiano na nchi za mashariki na kati. Kama unakumbuka Erdoğan na Al Sisi walikuja Tanzania na juzi Waziri wa nje wa China alikuja ku sign mikataba.
.. i wish waje wapewe tender ya kama phase 4 and 5 ya BRT design and build tuone watavyoipiga vizuri
Zile tenda zinatolewa na masharti ya WB.
 
Kumbuka Tz haijawai fanya ma issue ya eurobond na bado tuna ma mega project ya ajabu wao mpka wachukue mkopo kulipa mkopo
Eurobond ni nafuu kuliko commercial loan ,muwe mnafuatilia bajeti hata juzi Finance Minister Dr Mpango kaeleza kwamba wamekopa mikopo ya kibiashara ku finance reli

Sasa si bora watafute Eurobond ina unafuu kidogo japo ina mlolongo
 
KENYA RANKED 95 IN DEMOCRACY INDEX.
• It beat the neighbouring Uganda by three points while Zambia and Sierra Leone shared position 99 in the ranking by the Economist Intelligence Unit.

• Senegal, Malawi, Lesotho, Ghana, South Africa, and Mauritius are among the African states that has beaten Nairobi in the rankings.

by MOSES ODHIAMBO
Political Writer
News
15 March 2021 - 11:49

Kenya has been ranked position 95 globally and number 13 in Sub-Saharan Africa in the Democracy Index 2020 ratings, scoring lower than its neighbor Tanzania rated at position 93.

It beat the neighbouring Uganda by three points while Zambia and Sierra Leone shared position 99 in the ranking by the Economist Intelligence Unit.

Senegal, Malawi, Lesotho, Ghana, South Africa, and Mauritius are among the African states that have beaten Nairobi in the rankings.

Norway, Iceland, Sweden, New Zealand, and Canada were rated in the top five slot in the ranking that factored how the nations handle elections; functioning of government; political participation; political culture; and civil liberties.

Kenya was pooled in the category of countries with hybrid regimes which EIU describes as those where elections have substantial irregularities that prevent them from being free and fair.

Hybrid regimes also apply where government pressure on opposition parties and candidates is common, with serious weaknesses in political culture, functioning of government and political participation.

The regimes are also characterized by widespread corruption and the rule of law is weak; and with a weak civil society.

EIU says in such countries typically, there is harassment of and pressure on journalists; and the judiciary is not independent.

Kenya also beat Benin, Gambia, Ivory Coast, Nigeria, Mali, Mauritania, Burkina Faso, Angola, Gabon, Mozambique, and Ethiopia in that order in the just released rankings.

The country also outdid Niger, Zimbabwe, Congo (Brazzaville), Rwanda, Comoros, Eswatini, Guinea, Togo, Cameroon, Djibouti, and Guinea Bissau.

DRC was the worst performer in the ratings followed by Central Africa Republic, Chad, Equatorial Guinea, Burundi, and Eritrea.

Kenya, in a scale of 10, scored three point five on its electoral processes and pluralism; 5.36 on functioning of government; 6.67 on political participation; 5.63 on political culture, and 4.12 on civil liberties.

The EIU said the heavy-handedness in places like Kenya reached new highs in areas where curfews were ordered. “The measures stripped citizens of their freedom to assemble and travel, causing severe interruption to livelihoods,” the team said in the report released on Monday.
In Summary

• It beat the neighbouring Uganda by three points while Zambia and Sierra Leone shared position 99 in the ranking by the Economist Intelligence Unit.

• Senegal, Malawi, Lesotho, Ghana, South Africa, and Mauritius are among the African states that has beaten Nairobi in the rankings.

by MOSES ODHIAMBOPolitical Writer

Kenya has been ranked position 95 globally and number 13 in Sub-Saharan Africa in the Democracy Index 2020 ratings, scoring lower than its neighbor Tanzania rated at position 93.

It beat the neighbouring Uganda by three points while Zambia and Sierra Leone shared position 99 in the ranking by the Economist Intelligence Unit.

Senegal, Malawi, Lesotho, Ghana, South Africa, and Mauritius are among the African states that have beaten Nairobi in the rankings.

Norway, Iceland, Sweden, New Zealand, and Canada were rated in the top five slot in the ranking that factored how the nations handle elections; functioning of government; political participation; political culture; and civil liberties.

Kenya was pooled in the category of countries with hybrid regimes which EIU describes as those where elections have substantial irregularities that prevent them from being free and fair.

Hybrid regimes also apply where government pressure on opposition parties and candidates is common, with serious weaknesses in political culture, functioning of government and political participation.

The regimes are also characterized by widespread corruption and the rule of law is weak; and with a weak civil society.

EIU says in such countries typically, there is harassment of and pressure on journalists; and the judiciary is not independent.

Kenya also beat Benin, Gambia, Ivory Coast, Nigeria, Mali, Mauritania, Burkina Faso, Angola, Gabon, Mozambique, and Ethiopia in that order in the just released rankings.

The country also outdid Niger, Zimbabwe, Congo (Brazzaville), Rwanda, Comoros, Eswatini, Guinea, Togo, Cameroon, Djibouti, and Guinea Bissau.

DRC was the worst performer in the ratings followed by Central Africa Republic, Chad, Equatorial Guinea, Burundi, and Eritrea.

Kenya, in a scale of 10, scored three point five on its electoral processes and pluralism; 5.36 on functioning of government; 6.67 on political participation; 5.63 on political culture, and 4.12 on civil liberties.

The EIU said the heavy-handedness in places like Kenya reached new highs in areas where curfews were ordered. “The measures stripped citizens of their freedom to assemble and travel, causing severe interruption to livelihoods,” the team said in the report released on Monday.

WAZEE WA DEMOCRACY MPOOO
 
Back
Top Bottom