Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walisema kwamba wamewacha mambo ya Eurobond, wameendea concessional loans from IMF. Wajinga sana hawa watu. Ni kama hajui wanachofanya. Wamebadilisha msimamo tena.
Hama nchi! The whole of last week the news on Kenyan media was JPM's death sio! Wajinga mkapumbazwa wakati wenzenu wakisaini mikopo!
 
. Kwa mfano bro Tony254 ,,huyu jamaa Sam chui alienda uko china kutembelea world's biggest and most beautiful airport ever built, Daxing international airport . Angalia hivyo vid. us hawawezi kufanya ivyo .kama itakupendeza pitia comments uone Americans wanavyolalamika kuhusu kupitwa na Chinese
Mbona km ki Corona icho ki design au
 
. Kwa mfano bro Tony254 ,,huyu jamaa Sam chui alienda uko china kutembelea world's biggest and most beautiful airport ever built, Daxing international airport . Angalia hivyo vid. us hawawezi kufanya ivyo .kama itakupendeza pitia comments uone Americans wanavyolalamika kuhusu kupitwa na Chinese

China wana the biggest Airport Ilhali America wana the busiest airport kwa jina la Hartsfield Jackson Atlanta International airport. Ilipokea abiria 110 million in 2019

download (1).jpeg
images (1).jpeg
images (2).jpeg

Sasa kama mimi nikiulizwa nichague kati ya biggest airport na busiest airport afadhali nichague busiest. Hata nyinyi mna terminal 3 ya JNIA ambayo ni kubwa na modern kushinda terminal za JKIA ila airport ya JKIA ndio the busiest in East Africa.
 
Hama nchi! The whole of last week the news on Kenyan media was JPM death sio! Wajinga mkapumbazwa wakati wenzenu wakisaini mikopo!
we mwenyewe hujui rais wako yupo wapi hadi saa hii ni kujipa tu ujuaji kuhusu ya kenya
 
China wana the biggest Airport Ilhali America wana the busiest airport kwa jina la Hartsfield Jackson Atlanta International airport. Ilipokea abiria 110 million in 2019

View attachment 1726533View attachment 1726534View attachment 1726536
Sasa kama mimi nikiulizwa nichague kati ya biggest airport na busiest airport afadhali nichague busiest. Hata nyinyi mna terminal 3 ya JNIA ambayo ni kubwa na modern kushinda terminal za JKIA ila airport ya JKIA ndio the busiest in East Africa.
kwa marekani kuwa na busiest airport ni sawa,but I bet in the near future China will be having the busiest airport na ndio maana wamejenga kubwa ili ije iweze kumudu mahitaji ya wakati huo ,(ukizingatia kwa sasa mataifa mingi ya Africa tunaitegemea china kiuchumi na tunaenda sana kununua bidhaa kwao)
 
Walisema kwamba wamewacha mambo ya Eurobond, wameendea concessional loans from IMF. Wajinga sana hawa watu. Ni kama hawajui wanachofanya. Wamebadilisha msimamo tena.
Nimeona mna reserve ya dola bilioni 7 mwaka huu na hilo deni linazidi hiyo reserve account yenu lakini bado mnakopesheka. Mnafanya nini hadi wanaamini mna uwezo wa kulipa hata kama deni limezidi pesa iliyopo kwenye reserve account?
 
US ina the most powerful military in the world. China haitawahi kuifikia kwenye military, pengine tu kwenye uchumi. Budget ya US military ni sawia na budget ya nchi nane zinazoifuata. US wana more than 7,000 nuclear warheads wakati China wana chini ya 500.
Saudi Arabia wanashika namba tatu duniani kwa bajeti kubwa ya ulinzi, lakini haipo katika top 10 ya nchi zenye nguvu za kijeshi, inazidiwa na Iran na Turkey, bajeti kubwa sio kigezo.

Kati ya nchi tatu 1)USA, 2)Russia 3)China, kila moja inaongoze katika eneo moja la nguvu za kijeshi.

1) USA inaongoza kwa kuwa na nguvu angani(the most powerful Air force)
2)Russian inaongoza kuwa na jeshi lenye nguvu zaidi ardhini
3)China inaongoza kwa jeshi la baharini, sasa hivi China inaongoza kwa kuwa na the best military drones.

Kwa ufupi, kati ya hizi nchi tatu zikiiingia vitani, hakuna nchi itakayoshinda vita bila usaidizi wa nchi zingina.
 
Silaha za vita US wako mbali sana. Honestly wewe unajua US wana silaha aina gani za vita? Watu hawaiti US superpower kwa mzaha. Bro US sio mchezo. China ina aircraft carriers mbili, US wana 11. Yaani China haiwezi kuifikia US kwenye maswala ya military. Pengine uongee kuhusu mambo ya uchumi.
Vita inategemea technology unayotumia. Nchi za magharibi zilicolonize dunia nzima kwa sababu walikuwa na superior technology. US wana 5th generation stealth fighter jet ambayo radar haiwezi kuiona, ilhali China hawana. Yaani karibu kila eneo la military US wako mbele ya China.
China wameshinda US kwenye mambo fulani fulani ya Uchumi. Kwa mfano China wana longest railway network in the world. Wanagenerate more electricity than any other country. They have more industries than any other country e.t.c
uchumi mkubwa hausemi uongo ndugu.

china kwa sasa wana generate 7+mln MW za umeme,wakifuatiwa na US wenye 5mln MW.

ni miaka 10 tu nyuma hapo china ilikuwa na 1mln MW.kwahiyo hata kwenye haya maswala ya kijeshi,sitaki kuamini kwamba china iko mbele ila haitachukua muda
 
Back
Top Bottom