Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

329F031B-C015-4B2F-B7A6-C41CF8F453C5.png
A69C8BB1-45C0-489E-88C2-63094A8FCA76.png
 
Saudi Arabia wanashika namba tatu duniani kwa bajeti kubwa ya ulinzi, lakini haipo katika top 10 ya nchi zenye nguvu za kijeshi, inazidiwa na Iran na Turkey, bajeti kubwa sio kigezo.

Kati ya nchi tatu 1)USA, 2)Russia 3)China, kila moja inaongoze katika eneo moja la nguvu za kijeshi.

1) USA inaongoza kwa kuwa na nguvu angani(the most powerful Air force)
2)Russian inaongoza kuwa na jeshi lenye nguvu zaidi ardhini
3)China inaongoza kwa jeshi la baharini, sasa hivi China inaongoza kwa kuwa na the best military drones.

Kwa ufupi, kati ya hizi nchi tatu zikiiingia vitani, hakuna nchi itakayoshinda vita bila usaidizi wa nchi zingina.
Nadhani US wana nguvu baharini kushinda nchi yoyote ile. Wana aircraft carriers 11 wakati china ina aircraft carriers 2 tu. US wana submarines nyingi zinazotupa makombora za kinuclear. Wanapatrol maji kote kote duniani. Wana aircraft carrier moja karibu na North Korea. Wana aircraft carrier nyingine karibu na China ready to react anytime. Wana aircraft carrier nyingie karibu na Iran, linazunguka tu ready to react anytime. Aircraft carrier inasindikizwa na battle fleet ya meli za kivita zinazorusha guided precision missiles kama Frigates na cruisers na pia wana submarines nyingi zinazozunguka aircraft carrier. Aircraft carrier imebeba ndege zaidi ya ishirini za kivita zinazorusha guided missiles. Kwa hivyo Marekani wana strongest Navy in the world bila mapingamizi.
Aircraft carrier yenyewe pia ina weapons zake ikiwemo missiles. Tazama aircraft carrier fleet moja ya Marekani kisha imagine kwamba ziko kumi na moja. Aircraft carrier fleet moja imetosha Marekani kufanya damage kubwa sana kwa adui wake. Hata mkiwashinda vitani, wana submarines zinazoweza kutupa kombora ya kinuklia inayoweza kufuta Kenya au Tanzania from the map.
images.jpeg
images (1).jpeg

300px-USS_George_Washington_(SSBN-598)_underway_at_sea,_circa_in_the_1970s.jpg

Hili submarine hapa juu ni ya kizamani linaitwa USS George Washington na ndio submarine ya kwanza ya Marekani waliyounda inayoweza kutupa kombora ya kinuklia ikiwa imejificha baharini.
Hii hapa chini nayo ni Ohio class submarine na pia linabeba kombora la kinuklia.
images (3).jpeg

Kuharibu zaidi, wana bomber aircraft inayobeba bomu ya kinuklia. Marekani ukimshinda vita anaanza kuwachilia mabomu ya kinuklia. Hili ndege la kishetani hapa chini linawachilia mabomu ya kinuklia na kumaliza kabisa mechi bila mapingamizi. Linaitwa B-52 Stratofortress bomber
300px-B-52_Stratofortress_assigned_to_the_307th_Bomb_Wing_(cropped).jpg

Na hili nalo ni shetani lingine linabeba kombora la kinuklia linaitwa B-2 spirit
300px-B-2_Spirit_(cropped).jpg

Kuharibu zaidi wana ballistic missile ya kinuklia wanayoweza kulenga sehemu popote duniani na kulifuta from the map.
Titan_II_launch.jpg

images (4).jpeg
images (5).jpeg

Hizi ballistic nuclear missiles ndio US hawataki North Korea wazipate. Maana wanaweza kupiga US nazo hata wakiwa huko North Korea kwa kubonyeza kidude tu.
Cc Sama boy 255
 
Nadhani US wana nguvu baharini kushinda nchi yoyote ile. Wana aircraft carriers 11 wakati china ina aircraft carriers 2 tu. US wana submarines nyingi zinazotupa makombora za kinuclear. Wanapatrol maji kote kote duniani. Wana aircraft carrier moja karibu na North Korea. Wana aircraft carrier nyingine karibu na China ready to react anytime. Wana aircraft carrier nyingie karibu na Iran, linazunguka tu ready to react anytime. Aircraft carrier inasindikizwa na battle fleet ya meli za kivita zinazorusha guided precision missiles kama Frigates na cruisers na pia wana submarines nyingi zinazozunguka aircraft carrier. Aircraft carrier imebeba ndege zaidi ya ishirini za kivita zinazorusha guided missiles. Kwa hivyo Marekani wana strongest Navy in the world bila mapingamizi.
Aircraft carrier yenyewe pia ina weapons zake ikiwemo missiles. Tazama aircraft carrier fleet moja ya Marekani kisha imagine kwamba ziko kumi na moja. Aircraft carrier fleet moja imetosha Marekani kufanya damage kubwa sana kwa adui wake. Hata mkiwashinda vitani, wana submarines zinazoweza kutupa kombora ya kinuklia inayoweza kufuta Kenya au Tanzania from the map.
View attachment 1726638
Hili submarine ya kizamani linaitwa USS George Washington na ndio submarine ya kwanza ya Marekani waliyounda inayoweza kutupa kombora ya kinuklia ikiwa imejificha baharini.
Hii hapa chini nayo ni Ohio class submarine na pia linabeba kombora la kinuklia.
View attachment 1726641
Kuharibu zaidi, wana bomber aircraft inayobeba bomu ya kinuklia. Marekani ukimshinda vita anaanza kuwachilia mabomu ya kinuklia. Hili ndege la kishetani hapa chini linawachilia mabomu ya kinuklia na kumaliza kabisa mechi bila mapingamizi. Linaitwa B-52 Stratofortress bomber
View attachment 1726646
Na hili nalo ni shetani lingine linabeba kombora la kinuklia linaitwa B-2 spirit
View attachment 1726653
Kuharibu zaidi wana ballistic missile ya kinuklia wanayoweza kulenga sehemu popote duniani na kulifuta from the map.
View attachment 1726677
View attachment 1726660View attachment 1726661
Hizi ballistic nuclear missiles ndio US hawataki North Korea wazipate. Maana wanaweza kupiga US nazo hata wakiwa huko North Korea kwa kubonyeza kidude tu.
Cc Sama boy 255
China is catching up mzee aircraft carrier r good but its missiles can win wars! a reason why US is supicious of Russia every time!
 
Hii picha ni ya lini?
Wakenya mna mambo ya kitoto sana. Yaani rais aache kufanya kazi zake za kila siku aje kuwajibu ninyi public!?
1. Rais ni mwenyekiti wa CCM yupo na vikao vya kutafuta katibu mkuu wa CCM

2. Rais anashughulikia mikataba ya uchimbaji wa chuma na makaa ya mawe mchuchuma na Liganga.

3. Rais anashughulikia project ya daraja refu kuunganisha Bagamoyo na Zanzibar

4. Raisi yupo busy kukamilisha SGR kutoka Dodoma kwenda Isaka.

5. Rais yupo Busy kupanga namna ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi.

6. Rais yuko busy kutafuta solution ya madini ya Uranium tuliyonayo.

7. Rais yupo busy kushughulikia project ya uchimbaji wa Nickel Simiyu.

8. Rais yupo busy kusikiliza report za upatikanaji wa mafuta bonde la wembele.
 
Nadhani US wana nguvu baharini kushinda nchi yoyote ile. Wana aircraft carriers 11 wakati china ina aircraft carriers 2 tu. US wana submarines nyingi zinazotupa makombora za kinuclear. Wanapatrol maji kote kote duniani. Wana aircraft carrier moja karibu na North Korea. Wana aircraft carrier nyingine karibu na China ready to react anytime. Wana aircraft carrier nyingie karibu na Iran, linazunguka tu ready to react anytime. Aircraft carrier inasindikizwa na battle fleet ya meli za kivita zinazorusha guided precision missiles kama Frigates na cruisers na pia wana submarines nyingi zinazozunguka aircraft carrier. Aircraft carrier imebeba ndege zaidi ya ishirini za kivita zinazorusha guided missiles. Kwa hivyo Marekani wana strongest Navy in the world bila mapingamizi.
Aircraft carrier yenyewe pia ina weapons zake ikiwemo missiles. Tazama aircraft carrier fleet moja ya Marekani kisha imagine kwamba ziko kumi na moja. Aircraft carrier fleet moja imetosha Marekani kufanya damage kubwa sana kwa adui wake. Hata mkiwashinda vitani, wana submarines zinazoweza kutupa kombora ya kinuklia inayoweza kufuta Kenya au Tanzania from the map.
View attachment 1726679View attachment 1726680

View attachment 1726638
Hili submarine hapa juu ni ya kizamani linaitwa USS George Washington na ndio submarine ya kwanza ya Marekani waliyounda inayoweza kutupa kombora ya kinuklia ikiwa imejificha baharini.
Hii hapa chini nayo ni Ohio class submarine na pia linabeba kombora la kinuklia.
View attachment 1726641
Kuharibu zaidi, wana bomber aircraft inayobeba bomu ya kinuklia. Marekani ukimshinda vita anaanza kuwachilia mabomu ya kinuklia. Hili ndege la kishetani hapa chini linawachilia mabomu ya kinuklia na kumaliza kabisa mechi bila mapingamizi. Linaitwa B-52 Stratofortress bomber
View attachment 1726646
Na hili nalo ni shetani lingine linabeba kombora la kinuklia linaitwa B-2 spirit
View attachment 1726653
Kuharibu zaidi wana ballistic missile ya kinuklia wanayoweza kulenga sehemu popote duniani na kulifuta from the map.
View attachment 1726677
View attachment 1726660View attachment 1726661
Hizi ballistic nuclear missiles ndio US hawataki North Korea wazipate. Maana wanaweza kupiga US nazo hata wakiwa huko North Korea kwa kubonyeza kidude tu.
Cc Sama boy 255
Nina uhakika na niliyozungumza, ukiacha kuwa na Air craft carriers nyingi kuliko China, silaha zingine zote za majini kuanzia Submarine na zingine zote China amezidi USA
 
uchumi mkubwa hausemi uongo ndugu.

china kwa sasa wana generate 7+mln MW za umeme,wakifuatiwa na US wenye 5mln MW.

ni miaka 10 tu nyuma hapo china ilikuwa na 1mln MW.kwahiyo hata kwenye haya maswala ya kijeshi,sitaki kuamini kwamba china iko mbele ila haitachukua muda
Pop ya China vs USA nani anaumeme mwingi? Kumbuka wamarekani hawazidi 300+M ilhali wachina ni zaidi ya 1.3B
 
Nimeona mna reserve ya dola bilioni 7 mwaka huu na hilo deni linazidi hiyo reserve account yenu lakini bado mnakopesheka. Mnafanya nini hadi wanaamini mna uwezo wa kulipa hata kama deni limezidi pesa iliyopo kwenye reserve account?
Kwanza Kenya haijawahi kushindwa kulipa deni katika historia yake. Pili Kenya ina good credit ratings.
 
Nadhani US wana nguvu baharini kushinda nchi yoyote ile. Wana aircraft carriers 11 wakati china ina aircraft carriers 2 tu. US wana submarines nyingi zinazotupa makombora za kinuclear. Wanapatrol maji kote kote duniani. Wana aircraft carrier moja karibu na North Korea. Wana aircraft carrier nyingine karibu na China ready to react anytime. Wana aircraft carrier nyingie karibu na Iran, linazunguka tu ready to react anytime. Aircraft carrier inasindikizwa na battle fleet ya meli za kivita zinazorusha guided precision missiles kama Frigates na cruisers na pia wana submarines nyingi zinazozunguka aircraft carrier. Aircraft carrier imebeba ndege zaidi ya ishirini za kivita zinazorusha guided missiles. Kwa hivyo Marekani wana strongest Navy in the world bila mapingamizi.
Aircraft carrier yenyewe pia ina weapons zake ikiwemo missiles. Tazama aircraft carrier fleet moja ya Marekani kisha imagine kwamba ziko kumi na moja. Aircraft carrier fleet moja imetosha Marekani kufanya damage kubwa sana kwa adui wake. Hata mkiwashinda vitani, wana submarines zinazoweza kutupa kombora ya kinuklia inayoweza kufuta Kenya au Tanzania from the map.
View attachment 1726679View attachment 1726680

View attachment 1726638
Hili submarine hapa juu ni ya kizamani linaitwa USS George Washington na ndio submarine ya kwanza ya Marekani waliyounda inayoweza kutupa kombora ya kinuklia ikiwa imejificha baharini.
Hii hapa chini nayo ni Ohio class submarine na pia linabeba kombora la kinuklia.
View attachment 1726641
Kuharibu zaidi, wana bomber aircraft inayobeba bomu ya kinuklia. Marekani ukimshinda vita anaanza kuwachilia mabomu ya kinuklia. Hili ndege la kishetani hapa chini linawachilia mabomu ya kinuklia na kumaliza kabisa mechi bila mapingamizi. Linaitwa B-52 Stratofortress bomber
View attachment 1726646
Na hili nalo ni shetani lingine linabeba kombora la kinuklia linaitwa B-2 spirit
View attachment 1726653
Kuharibu zaidi wana ballistic missile ya kinuklia wanayoweza kulenga sehemu popote duniani na kulifuta from the map.
View attachment 1726677
View attachment 1726660View attachment 1726661
Hizi ballistic nuclear missiles ndio US hawataki North Korea wazipate. Maana wanaweza kupiga US nazo hata wakiwa huko North Korea kwa kubonyeza kidude tu.
Cc Sama boy 255
picha siyo vita
 
Saudi Arabia wanashika namba tatu duniani kwa bajeti kubwa ya ulinzi, lakini haipo katika top 10 ya nchi zenye nguvu za kijeshi, inazidiwa na Iran na Turkey, bajeti kubwa sio kigezo.

Kati ya nchi tatu 1)USA, 2)Russia 3)China, kila moja inaongoze katika eneo moja la nguvu za kijeshi.

1) USA inaongoza kwa kuwa na nguvu angani(the most powerful Air force)
2)Russian inaongoza kuwa na jeshi lenye nguvu zaidi ardhini
3)China inaongoza kwa jeshi la baharini, sasa hivi China inaongoza kwa kuwa na the best military drones.

Kwa ufupi, kati ya hizi nchi tatu zikiiingia vitani, hakuna nchi itakayoshinda vita bila usaidizi wa nchi zingina.
Hapana. The US navy ndio the most powerful in the world. They have the most ships! Russia has more nuclear weapons in their inventory than the US. But their difference isn’t too significant.
 
Back
Top Bottom