Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani US wana nguvu baharini kushinda nchi yoyote ile. Wana aircraft carriers 11 wakati china ina aircraft carriers 2 tu. US wana submarines nyingi zinazotupa makombora za kinuclear. Wanapatrol maji kote kote duniani. Wana aircraft carrier moja karibu na North Korea. Wana aircraft carrier nyingine karibu na China ready to react anytime. Wana aircraft carrier nyingie karibu na Iran, linazunguka tu ready to react anytime. Aircraft carrier inasindikizwa na battle fleet ya meli za kivita zinazorusha guided precision missiles kama Frigates na cruisers na pia wana submarines nyingi zinazozunguka aircraft carrier. Aircraft carrier imebeba ndege zaidi ya ishirini za kivita zinazorusha guided missiles. Kwa hivyo Marekani wana strongest Navy in the world bila mapingamizi.
Aircraft carrier yenyewe pia ina weapons zake ikiwemo missiles. Tazama aircraft carrier fleet moja ya Marekani kisha imagine kwamba ziko kumi na moja. Aircraft carrier fleet moja imetosha Marekani kufanya damage kubwa sana kwa adui wake. Hata mkiwashinda vitani, wana submarines zinazoweza kutupa kombora ya kinuklia inayoweza kufuta Kenya au Tanzania from the map.
View attachment 1726679View attachment 1726680




View attachment 1726638
Hili submarine hapa juu ni ya kizamani linaitwa USS George Washington na ndio submarine ya kwanza ya Marekani waliyounda inayoweza kutupa kombora ya kinuklia ikiwa imejificha baharini.
Hii hapa chini nayo ni Ohio class submarine na pia linabeba kombora la kinuklia.
View attachment 1726641
Kuharibu zaidi, wana bomber aircraft inayobeba bomu ya kinuklia. Marekani ukimshinda vita anaanza kuwachilia mabomu ya kinuklia. Hili ndege la kishetani hapa chini linawachilia mabomu ya kinuklia na kumaliza kabisa mechi bila mapingamizi. Linaitwa B-52 Stratofortress bomber
View attachment 1726646
Na hili nalo ni shetani lingine linabeba kombora la kinuklia linaitwa B-2 spirit
View attachment 1726653
Kuharibu zaidi wana ballistic missile ya kinuklia wanayoweza kulenga sehemu popote duniani na kulifuta from the map.
View attachment 1726677
View attachment 1726660View attachment 1726661
Hizi ballistic nuclear missiles ndio US hawataki North Korea wazipate. Maana wanaweza kupiga US nazo hata wakiwa huko North Korea kwa kubonyeza kidude tu.
Cc Sama boy 255
. Take a look ,Angalia mpaka mwisho
 
Haya mafala nilijua tu lazima yafungwe ndo mana wala ckujisumbua kufatilia mechi, Wakenya wala msishangilie kuyafunga hayo masenge, sisi mpira hatujui ila tuna ligi bora cz pesa ya ku invest kwenye soka tunayo, tunaweza kununua mchezaji yyte hapa East and Central Africa na ndiyo maana ndoto za wachezaji ukanda huu ni kucheza Tanzania ila sisi km sisi mpira hatujui hilo halina ubishi.
Dah,mkuu umeongea kwa uchungu😁
 
Dah,mkuu umeongea kwa uchungu[emoji16]
Mm nilishaacha kuyaangalia haya masenge, hayafanyi consideration kabisa, yakiwa yanacheza yanachukulia poa tu wakati watu tunapoteza pesa kuyalipia kupanda ndege na gharama zingine kibao, kila siku yanatuaibisha na hayajitumi, mm ningekuwa na dhamana ningevunja hii timu tuandae timu nyingine ya vijana na co haya mafala.
 
swali gan mkuu?

ila tunajua kuwa, line inayoelekea kituon haina nyaya za umeme, treni itatumia umeme wa betri yake
Mbona hapa naona overhead wire kwenye line inayopakana na station ya Soga?
CACBD01E-AFAD-4220-80B1-971A4C137058.jpeg
70C5AC8F-7696-4487-9569-BB8A3A96174A.jpeg
 
Ndugu yangu amini tumechoka na hii habari yako. Kumbuka kila nafsi itaonja mauti. Kama imani yako ni kua amekufa basi mtakie heri mwendazake. Marehemu asemwi vibaya maana hawezi kujitetea. Tunaomba sana uache hii tabia ndugu yetu sio nzuri ata kidogo. Unatukwaza sana sana
tumekubaliana kutomjibu yeyoye anayeleta taarifa hizo.

tunakoelekea tutawalazimisha mods wawapige ban.ukipost tu hizi habari unakula kufuli ili tuelewane vizuri.
 
Haya mafala nilijua tu lazima yafungwe ndo mana wala ckujisumbua kufatilia mechi, Wakenya wala msishangilie kuyafunga hayo masenge, sisi mpira hatujui ila tuna ligi bora cz pesa ya ku invest kwenye soka tunayo, tunaweza kununua mchezaji yyte hapa East and Central Africa na ndiyo maana ndoto za wachezaji ukanda huu ni kucheza Tanzania ila sisi km sisi mpira hatujui hilo halina ubishi.


Hauko sahihi kwenye hili.

Tatizo ni TFF, lakini at least kwa sasa tutaanza vyema kwa Taifa Stars baada ya Kim Poulsen kuanza na hii ilikua ni kutest wachezaji aliowachagua na walikua kambini siku chache zisizo pungua 6, na wachezaji wengi mno waliochaguliwa bado hawajajiunga na timu watajiunga wakiwamo wachezaji wote wa Simba.

Wachezaji wa Simba watajiunga hapo kwenye Kambi Nairobi kabla ya kuelekea Guinea na wengine watajiunga huko Guinea.
 
Back
Top Bottom