Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Hawa jamaa wako slow ila kazi yao nimeikubali.
Kweli man ..ila angalau tupate tu kitu cha uhakika ..which kwa video naona standards zimetulia wame consider hadi helipads kwenye vituo vidogo which is very good .. i wish waje wapewe tender ya kama phase 4 and 5 ya BRT design and build tuone watavyoipiga vizuri








