Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoja kwishaa
Ukikubali nikuletee taarifa na utazikubali ni tag
Post ya mtu 🤣🤣🤣👇👇👇👇
B908C31E-6747-41B9-8D69-3649E153215D.jpeg

. .. kwa hali hii ☝️ me naeza kusema USA sio taifa powerful in this world, wanatuaminisha tu na GDP uchwara na misaada ambayo kinyume chake ni dhuluma, China ndio taifa tajir duniani kwa sasa ,anae bisha awete facts. Chinese infrastructures is furistic,no any us city can be compered to China cities ..
 
. .. kwa hali hii me naeza kusema USA sio taifa powerful in this world, wanatuaminisha tu na GDP uchwara na misaada ambayo kinyume chake ni dhuluma, China ndio taifa tajir duniani kwa sasa ,anae bisha awete facts. Chinese infrastructures is furistic,no any us city can be compered to China cities ..
Kwa mtizamo wako lkn,
Ila Mmarekani aliwahi sema jamani Africa jihadharini na mikopo ya hawa Jamaa na kweli
 
. .. kwa hali hii ☝️ me naeza kusema USA sio taifa powerful in this world, wanatuaminisha tu na GDP uchwara na misaada ambayo kinyume chake ni dhuluma, China ndio taifa tajir duniani kwa sasa ,anae bisha awete facts. Chinese infrastructures is furistic,no any us city can be compered to China cities ..

US ina the most powerful military in the world. China haitawahi kuifikia kwenye military, pengine tu kwenye uchumi. Budget ya US military ni sawia na budget ya nchi nane zinazoifuata. US wana more than 7,000 nuclear warheads wakati China wana chini ya 500.
 
Saa zingine wazungu wako na takwimu nyingi lakini groundly hamna kitu,unajua kwann nasema hivyo bro ,ni mda sasa najaribu kufuatilia maendeleo ya nchi kubwa duniani kupitia YouTube lakini kila nnavyotaka kujiridhisha kwamba us ndio baba wa dunia bado napata doubt nyingi sana coz it's seems like vitu kwa ground ni different sana,Mana duh aise sijui hii inakaaje.ukiangalia miji ya china imendelea sana kiasi ambacho baadhi ya miji mikubwa US inaonekana kama ipo third world country. Silaha za kivita ndio kama iyo vid inavyoonekana hapo
 
Usishangae kugundua kuwa kiwanda hicho kinatumia megawati 5 tu au hata kidogo zaidi ya hiyo.
Unauhakika gani na je kama kinatumia zaidi ya hapo 😀😀 na kila mkoa viwanda vinajengwa unategemea nn
 
US ina the most powerful military in the world. China haitawahi kuifikia kwenye military, pengine tu kwenye uchumi. Budget ya US military ni sawia na budget ya nchi nane zinazoifuata. US wana more than 7,000 nuclear warheads wakati China wana chini ya 500.
Na russia ana 11000 nucleur warheads utasemaje hapo 🤣🤣🤣🤣
 
. Kwa mfano bro Tony254 ,,huyu jamaa Sam chui alienda uko china kutembelea world's biggest and most beautiful airport ever built, Daxing international airport . Angalia hivyo vid. us hawawezi kufanya ivyo .kama itakupendeza pitia comments uone Americans wanavyolalamika kuhusu kupitwa na Chinese
 
Back
Top Bottom