Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vs nguzo za double stack sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo vipi...
Yani unaahidiwa double stack alafu unawekewa nguzo dwarf...jamani jamani, mturuki Mungu anakuonaView attachment 1671051


Hapo ndipo yatapitia yale mabehewa 52 ya double stack mlioagiza sio, shikamoo mturuki


Vitu km hivi mtaviskia ma redioni tuView attachment 1675654
 
Morogoro SGR terminal🤣🤣 wanakila sababu yakumchukia magufuli
F06F6898-CE02-4194-9350-8EB2F51330A1.jpeg
ED7B1194-D608-42D5-B139-D5944A5B56DC.jpeg
D3113436-DB6F-489F-B1FE-E6B704472AFE.jpeg
AFC3DE99-3916-4E2C-84CE-F08FD5FC4759.jpeg
AD327FFD-A6A5-4AD9-A68D-5C67EE4C1D8C.jpeg
338F6255-0A03-48A4-ACF8-41B4FC3C36AE.jpeg
BFB09C6E-3042-4736-8ABC-D9A6D953C32E.jpeg
CA7420BA-ACDC-48ED-8128-6F5E3593CD8B.jpeg
7D73BD86-4F8D-4871-8D69-51ACDFD83EBA.jpeg
 
Hizo ni executive orders anazotia saini ambazo ni tofauti na file. Unajua siku hizi mambo mengi tunayafanya kwenye tarakilishi. Badala ya mafaili tunadeal na softwares. File bado zinatumika lakini sio sana kama zamani. Hata wewe ofisini najua unatumia tarakilishi sasa itakuwaje huyu mzee wenu haitumii?
Huku Kenya many govt services zimepelekwa online. Kwa mfano ukitaka ku-apply for passport una-apply online, malipo unafanya through Mpesa au credit cards e.t.c. Hata taxes siku hizi unalipia tu through Mpesa hata saa nne usiku sio kama zamani ambapo tulikuwa tunakwenda kulipa taxes kwenye benki na kupanga foleni kwa muda mrefu. Yaani teknolojia inarahisisha mambo. Mambo ya kupanga foleni kwenye benki imekuwa nadra. Kuna online banking pia. Lakini TZ najua hamuwezi kukosa kupanga foleni maana services za kiserikali hazipo online na pia pengine services za online banking za benki zenu sio nzuri.
Google what is GePG in Tanzania, then utapata majibu ya bandiko lako hilo
 
Back
Top Bottom