Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwhyo yale mabehewa ya double stack mlio oder mtayapeleka wapi

Kweli mturuki kiboko, km huna hela ya kujitengezea kitu tulia bana..

Electric trains double stack zitele
In africa double utaikuta kenya na sgr dume
Kweli ccm kawapumbaza
Nioneshe electric train double stack ukiacha ile mitungi inayotaka kuanza kule India, ukipata nijulishe.
 
Kwnn unaiita sgr dume au ndo inferiority complex
 
Nioneshe electric train double stack ukiacha ile mitungi inayotaka kuanza kule India, ukipata nijulishe.
Kwhyo leo mnakataa wakati juzi mlipinga nilipowaambia mturuki kawapinga kw nguzo ju haziwezi pitisha double stack..

Kwhyo india ipo nje ya dunia sio
 
Vitu km hivi mtaviskia ma redioni tu
images.jpeg-1.jpg
 
Tumewaajiri wajenge tunawalipa sasa support from China kivipi ?propagandists wakikenya wanaboa
huwa hawana sera wana propaganda za kishamba kila kitu kipo wazi...huwa wanajihangaisha tu
 
Back
Top Bottom