Muache ni Rais wetu!Mbona mzee bado anatumia mafaili katika 21st century? Mbona hatumii tarakilishi? Amekwama katika mitindo za kizamani sana.
View attachment 1725107
sasa hata tukisikia itakusaidia nini.....?Tatizo huwezi skia mkenya kapandishwa ndege ya AMREF kuletwa dar![]()
Kuwa muelewa na ndomaana nimekwambia kama tukiendelea na mwendo huo,kwani sahv nchi nyingine za afrika hazijafocus kwenye kujenga mabarabara hususani kwenye hichi kipindi cha janga la coronaWao wana zaidi ya 100,000 km of paved roads. Nyinyi mnachezea chini ya 20,000 km of paved. Hivi huoni aibu hata kutaja SA maana wao wapo ligi nyingine. Wewe pambana na Burundi.
So, East Africa zitakuwepo 3level interchanges mbili tu moja na ya kwanza ikiwa Dar na nyingine Mombasa au sioThis interchanges when complete will make Dar es Salaam look like a village to Mombasa.
Under construction day and night are the three, three level interchanges in Mombasa
Remember, Dar es Salaam has only one cross-like interchange with three levels.
View attachment 1725099
View attachment 1725101









Ugua pole pole mzee baba, nyie vigogi wenu lazima wapitie nairobi kwanza wanapoumwa alafu ndio watacheki km watapelekwa wapisasa hata tukisikia itakusaidia nini.....?
Ofisini kwako hakuna mafaili?Mbona mzee bado anatumia mafaili katika 21st century? Mbona hatumii tarakilishi? Amekwama katika mitindo za kizamani sana.
View attachment 1725107
Reli yetu sisi bei chee kumbe nako kutakua chee km bei gharama zake


Mama yangu, yani tatu kw mpigo aisee..This interchanges when complete will make Dar es Salaam look like a village to Mombasa.
Under construction day and night are the three, three level interchanges in Mombasa
Remember, Dar es Salaam has only one cross-like interchange with three levels.
View attachment 1725099
View attachment 1725101
Hizo ni executive orders anazotia saini ambazo ni tofauti na file. Unajua siku hizi mambo mengi tunayafanya kwenye tarakilishi. Badala ya mafaili tunadeal na softwares. File bado zinatumika lakini sio sana kama zamani. Hata wewe ofisini najua unatumia tarakilishi sasa itakuwaje huyu mzee wenu haitumii?Ofisini kwako hakuna mafaili?View attachment 1725132View attachment 1725133
the way mnawashwa na mambo ya tz,inafanya nihisi kumbe hata vile nawaza hamlali sababu yetu,nawakadiria kwa asilimia chache.
Taja services za serikali ambazo hazipo online.Hizo ni executive orders anazotia saini ambazo ni tofauti na file. Unajua siku hizi mambo mengi tunayafanya kwenye tarakilishi. Badala ya mafaili tunadeal na softwares. File bado zinatumika lakini sio sana kama zamani. Hata wewe ofisini najua unatumia tarakilishi sasa itakuwaje huyu mzee wenu haitumii?
Huku Kenya many govt services zimepelekwa online. Kwa mfano ukitaka ku-apply for passport una-apply online, malipo unafanya through Mpesa au credit cards e.t.c. Hata taxes siku hizi unalipia tu through Mpesa hata saa nne usiku sio kama zamani ambapo tulikuwa tunakwenda kulipa taxes kwenye benki na kupanga foleni kwa muda mrefu. Yaani teknolojia inarahisisha mambo. Mambo ya kupanga foleni kwenye benki imekuwa nadra. Kuna online banking pia. Lakini TZ najua hamuwezi kukosa kupanga foleni maana services za kiserikali hazipo online na pia pengine services za online banking za benki zenu sio nzuri.
Ukitaka passport huko kwenu una-apply online?Taja services za serikali ambazo hazipo online.