Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

League ilikua za shule za msingi au shule kwa ujumla [emoji316][emoji316][emoji316] kwanza shule zipi mlizopost? Hata sijaona!
Mm mwenyewe nashangaa ameng'ang'ania kweli kusema wamepost shule, shule gn wamepost humu zaidi ya zile tatu zote zipo Nairobi na ni za kanisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
vs nguzo za double stack sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo vipi...
Yani unaahidiwa double stack alafu unawekewa nguzo dwarf...jamani jamani, mturuki Mungu anakuona
images.jpeg-10.jpg
 
Tatizo mmezoea kuona uniform za nyumba ndio maana unashangaa! 😀 😀 😀
Seriously Luriga hiyo residential ni kama zile za village towns tu., not for a serious city! huwezi hata linganisha na za Eldy! hapa hakuna utani, iko down bro.,😂😂😂
 
Mumetandikwa wajumbe, kubalini tu jamani wala hamtokufa...
Mturuki sijui mwaka wa ngapi huu ana haha tu
Anahaha wapi wakati bado miezi sita kwa muda aliopewa na wewe, pia isitoshe wakamuongezea moro - dom
 
Lete ushahidi hapa wa tunnels za double stack..
Cable tayari keshachemsha, we wajua cables za double stack zinakaje kwanza au ni kelele unatupigia tu hapa..

Huyo mkorea anawauzia treni zipi hzo za double stack
Anavyoongea utadhani kwao kuna japo metre 1 ya cable [emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Anahaha wapi wakati bado miezi sita kwa muda aliopewa na wewe, pia isitoshe wakamuongezea moro - dom
2019 november mpka 2021 ndio miezi sita sio[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Shikamoo mturuki, wape hi wanenguaji mwakani
 
Najua [emoji23] [emoji23] atajaribu kutafuta vijisababu kama kawaida, ukweli na mtanzania ni kama maji na mafuta, haichanganyi![emoji23][emoji23]
Huoni amekimbia mzee baba, nakumbuka siku ilipiwekwa hyo video walikimbiana km wiki mbili ndio wakaanza kuitaja taja mwanza tena..
 
2019 november mpka 2021 ndio miezi sita sio[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Shikamoo mturuki, wape hi wanenguaji mwakani
Wewe unatambaa na arguments kama kondoo siwezi bishana na wewe, wapi umesikia tukilalamika kachelewesha
 
Back
Top Bottom