komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Pole sanambona unajitekenya na kucheka mwenyewe!!!!!
Pole sanambona unajitekenya na kucheka mwenyewe!!!!!
Unaogopa kunitafuta kuwa nitajua kwenu!? Umeshindwa kutoa mapene!?Wewe weka picha. Hamna shida.
Mungu habagui bali humpa anayemtaka yeye na wala hapangiwiHalafu ujue huyo Mungu unayemtaja bure hapendi small minded people. Anapenda great thinkers.
huyo jamaa ni miongozi mwa kielelezo cha upuuzi wa wakenya.Ndiyo maana race zingine hutudharau na kutufananisha na wanyama! Unajua tumeanza lini kuchemsha hiyo miili yetu? Ukiisha kuwa brainwashed watu wanaojitambua wanakuona pimbi tu.


.Weka picha weweUnaogopa kunitafuta kuwa nitajua kwenu!? Umeshindwa kutoa mapene!?
Na unaogopa kuonana na mimi!?
nimekuuliza swali jibu kwanza,,,,Burden of proof lies with you, wewe ndo ulisema hiyo project haina maana, sasa with evidence back up your claim. Na kama unamaswali zaidi consult google hapa hatufanyi spoon feeding.
hapo hakuna mlicho avoid mzee ojwani ,,mnaavoid traffic jam vichakani kwa jiji gani la maana mlilonalo hapo ,,,ukweli ni kwamba mmetumia pesa hovyo ni bora mngepeleka huzo pesa kwenye dumuma za afyaRaila hakusema hakuna corona au watu wa maji maji wajipake majic Millet water ndo iwajuie corona yeye alikubali na akiwa mgonjwa anasema lakini kinjakitile
Those are ring roads they surround the city and avoid traffic entering the city if someone has no business to do in town and also the heavy trucks are not allowed to pass through town and also the area around those roads grows very fast
Tatizo huwezi skia mkenya kapandishwa ndege ya AMREF kuletwa darhapo hakuna mlicho avoid mzee ojwani ,,mnaavoid traffic jam vichakani kwa jiji gani la maana mlilonalo hapo ,,,ukweli ni kwamba mmetumia pesa hovyo ni bora mngepeleka huzo pesa kwenye dumuma za afya

Those interchanges in Mombasa will be beautiful.This interchanges when complete will make Dar es Salaam look like a village to Mombasa.
Under construction day and night are the three, three level interchanges in Mombasa
Remember, Dar es Salaam has only one cross-like interchange with three levels.
View attachment 1725099
View attachment 1725101
Mind u several flyovers r U/C as u speak, 3 in BRT phase 2, 1 at Mloganzila on Kimara Kibaha superhighway, 1 at Mbezi Luis Bus Terminal n another 1 will connect Tanzanite bridge! More to come in BRT phase III!This interchanges when complete will make Dar es Salaam look like a village to Mombasa.
Under construction day and night are the three, three level interchanges in Mombasa
Remember, Dar es Salaam has only one cross-like interchange with three levels.
View attachment 1725099
View attachment 1725101
Wao wana zaidi ya 100,000 km of paved roads. Nyinyi mnachezea chini ya 20,000 km of paved. Hivi huoni aibu hata kutaja SA maana wao wapo ligi nyingine. Wewe pambana na Burundi.Kwan SA wana Nini mpaka tusiwafikie