THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Hivi sijui kama Wakenya wanaelewa hawa jamaa wanaingia mazima!!Kutoka kwny kubaguliwa mpk heaven sent, unaweza kujiuliza stability ya Tanzania, resources,upendo bila kujali wewe ni nani,utayari tulionanao kwenye kila sector graduates kama wote,policies reform na kuna mpango wa kuwapa diaspora special status uwingi wao na mitaji waliyonayo poleni sana Wakenya,kiburi chenu kinagharama mbele ya safari, Watanzania duniani kote tujitathimini nakuona ni kwa namna gani tutafaidika kupitia hizi fursa zinazomiminika kwa kasi sana. Tukianzia kwa sisi wenye dhamana.





