komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hujui kitu mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unataka kunifundisha kuhusu music na managment zinavyosongeshwa.......
wakenya mnamatatizo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mziki unahitaji mtandao mpana ndiposa mtu afanikiwe na afike level ya juu kabisa..
Yani nyie mnashtuka na jina CEO[emoji1787]kweli zuka ni zuka tu