ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kenya ilianza kwa kuzuia maziwa ya TanzaniaNyinyi ndo mlianza kuburn vifaranga vya TZ?
Endeleeni kujionesha kuwa Superpower EA kwa ku-frustrate biashara na majirani. Unaleta vurugu kwenye biashara ya mahindi na jirani zako ili ukanunue Mexico! Utawauzia nini hao mateja? Parachichi wanazo kama zote. Mahindi ndiyo hayo wanakuuzia.Haahhahaa.
Yaani kumbe Uganda pia walikuwa wanalia kuhusu maize ban. Wamelia sana. Tulikuwa tunataka kuwakumbusha majirani zetu nani ndio superpower wa ukanda huu. Mumepiga nduru mpaka tukawaonea huruma.
Tatizo Kenya mnarusha ngumi bila mpango na mwishoni inakupiga mwenyewe uliyerushaKenya ndio huwa inarusha makonde kwa majirani, hakuna siku majirani wamepata ubabe wa kulianzisha. Sisi ndio huwa tunalianzisha kila siku maana tuna ubavu huo na uwezo huo. Tanzania hata this time haikulipiza kisasi. Hio ni evidence tosha nani ndio superpower ukanda huu. Lakini kwa upande mwingine ni vizuri Kenya iwache ubabe iishi kwa amani na majirani zake. Sio vizuri maana hizi trade war zinaweza kuback-fire.
Ungefikiria hivi mlipochoma vifaranga nchi yenu ingekuwa mbali.Endeleeni kujionesha kuwa Superpower EA kwa ku-frustrate biashara na majirani. Unaleta vurugu kwenye biashara ya mahindi na jirani zako ili ukanunue Mexico! Utawauzia nini hao mateja? Parachichi wanazo kama zote. Mahindi ndiyo hayo wanakuuzia.
Wenzenu tunafanya real deals kwenye basic sectors. I mean real deals, siyo hypothetical kama ile yenu ya CoW ya 2013.
If that is what you are doing to show how supreme you are, then I feel sorry for you. I can see you loosing South Sudan too. Failed state failing again.
Kwanini vipite bila vibali?? kwanini mupitishe njia za panya au munataka kutuletea maradhi ya ajabu tanzania 😀😀😀Ungefikiria hivi mlipochoma vifaranga nchi yenu ingekuwa mbali.
Ni mwakani sio mwaka huuHii bangi gani waziri amevuta. Mradi huo hautakamilika Juni 2021. Huo ni uongo.
My friend siyo kwamba wabongo tulikuwa hatujui kuwa sisi ndiyo tunapaswa kuwa ma-alwatan hapa EA. Ni kwamba kwa almost two decades tulikuwa tukiongozwa na small minds. Now we are back.Ungefikiria hivi mlipochoma vifaranga nchi yenu ingekuwa mbali.
Ni June 2022. Hiyo ni error ndogo tu. Ni waziri huyo huyo aliyetuambia kuwa ujazaji wa reserve dam utaanza November mpaka April next yr. May mradi utakabidhiwa na June tutakuwa na umeme.Hii bangi gani waziri amevuta. Mradi huo hautakamilika Juni 2021. Huo ni uongo.