Bado ni fununu tu mkuu time will tell maana hii jamii inajingeka kwa kasi sana!!! advantage ni nyingi kupitia wao Ikiwemo za kiuchumi na kisiasa hawa jamaa ni whistle blowers wazuri sana,watatusaidia kuwasuta wazungu, wazungu hawapendi hii inshu maana ukiwatikisa hawa unatikisa na kule usishangae tatizo linatokea Tanzania kelele zikawa US,Sema bado tunahitaji umakini mkubwa maana Tanzania ni ndogo sana ukilinganisha na state zote marekani,na pia bado kuna fursa nyingi mbichi tusipoangalia baada ya muda mchache jamaa watatembea na kila nafasi lazima tutengeneze mazingira mazuri kwa watu wetu at least kuwe na win win situation jamaa wanastuana kila kukicha baada ya kung'amua serikali yao ilikuwa ikiwadanganya juu ya Afrika.Wapo wanaoelewa na kuwaelewesha wenzao kwa nini Tanzania hatutoi uraia fasta fasta kama nchi nyingine unaweza angalia hii video kuanzia dakika ya 22:25 this brother explain;