xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
takataka hizi πππππ yan zimenifanya nitumie nyundo kuua mende πππππMsumari huo![]()
takataka hizi πππππ yan zimenifanya nitumie nyundo kuua mende πππππMsumari huo![]()
Kati ya 19k-21k hiviKwn UDSM ina idadi ya wanafunzi wangapi
Kuhusu nnMbona simon kakataa
Kuhusu nn
Mimi siamini hayo magazeti unless walete evidence. Chunga usipandwe na pressure bure kwa sababu ya maandishi ya magazeti. Au tweets za Wakenya kwenye mitandao. Ukichukulia haya mambo seriously utapata matatizo ya moyo.leo umeni-bore aisee ngoja disappointment yangu itulie! yani mnalazimisha ugonjwa kwa mtu kisa mnamchukia! seriously? Nyie si watu JPM kaiba nn kwenu?
Asante.Mko vizur mji umejengwa vizuri
mbona una-post wacha ukenge? tena unatoa twitter!Mimi siamini hayo magazeti unless walete evidence. Chunga usipandwe na pressure bure kwa sababu ya maandishi ya magazeti. Au tweets za Wakenya kwenye mitandao. Ukichukulia haya mambo seriously utapata matatizo ya moyo.
Mimi napost tu ili muone jinsi Wakenya hawampendi Magu. Kwani kuna tatizo gani nikipost? Haimaanishi kwamba naamini wanachopost.mbona una-post wacha ukenge? tena unatoa twitter!
anawahusu nn mpaka msimpende?Mimi napost tu ili muone jinsi Wakenya hawampendi Magu. Kwani kuna tatizo gani nikipost? Haimaanishi kwamba naamini wanachopost.
Mimi sijui Magufuli alifanyia nini Wakenya. Hata mimi najiuliza hilo swali.anawahusu nn mpaka msimpende?
Hyo idadi sio mbaya kw chuo km hichoKati ya 19k-21k hivi
MATAGA hoiyeeeee π€£π€£π€£π€£π€£
Geza Ulole unaona nilichokuambia. Ukichukulia haya mambo seriously utapata matatizo ya moyo. Sasa inasemekana kwamba waziri wenu wa fedha ameletwa Nairobi kwa sababu ya corona na kwamba yuko kwenye coma. Haya mambo usiyachukulie serious unless walete evidence. Otherwise bila evidence usiichukulie kwa uzito wowote.
Bwahaha!!km hostel sio za UDSM unasema tu wala sio kuleta mihemko ya kike hapa..huyo uongee nae kiboya
Wakenya ukicheza nao watakumaliza kw presha manake sio kw zile tweets za jana aiseeGeza Ulole unaona nilichokuambia. Ukichukulia haya mambo seriously utapata matatizo ya moyo. Sasa inasemekana kwamba waziri wenu wa fedha ameletwa Nairobi kwa sababu ya corona na kwamba yuko kwenye coma. Haya mambo usiyachukulie serious unless walete evidence. Otherwise bila evidence usiichukulie kwa uzito wowote.