Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
Re imaging Mombasa streets
Naona leo umehamia kwenye hotels🤣🤣🤣🤣
Kiongozi anajisifu moja ya mafanikio ni kumwalika Obama, so what?Nchi umeme ilikua shughuli hasa Dar, maji Dar yanauzwa na wahuni kama Nairobi nchi ya Nzige.
Leo hii, umeme haukatiki na mwezi wa sita kila kona ya nchi kutakua tumeconent, maji hali kadhakika, hospitals, za nguvu, mahakama mpya kubwa na nzuri nchi mzima, machinjio ya kisasa nchi nzima, viwanja vya ndege nchi nzima, stands za mabasi, masoko nchi nzima.
Yule mbulula Kikwete yeye alikua kuchekacheka tu akidai hayawezekani "Ufinyu wa bajeti, eeeh ufinyu wa bajeti" katoka zake Davos na wakina January Makamba, then Togolani Mavura. Wakati huo, Membe nae anapuyanga somewhere in Europe wakati katibu mkuu wa mambo za nje, Libareta Mulamula kako New York eti kameudhuria mualiko wa diaspora wakijadili "dual citizenship"
M****ther P***sy!
Nikafikiri sayari ya Mars Vile 🙄
Ati mpangilio? Ebu kuwa serious bana😂😂🤣🤣Acha wivu mzee🙂hakuna mji wowote ule wa Kenya unalingana na miji ya Tanzania kwa usafi na mpangilio hata wewe unajua hilo sishangai ukichukia🙂
2017 below poverty line in tanzania ni 26% naomba tupate ya kenya ya 2017 na kama itakua below 26% mm nafunga acc jamii forum sasa hvi 🤣🤣🤣👇👇👇👇
Tatizo la wakenya ni ujinga wa akili, eti wanafurahia Kenya kuwa na bajeti kubwa kuliko nchi zote za EA![]()
Swali ni jepesi sana 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
Tucheke wote🙂👇👇👇Ati mpangilio? Ebu kuwa serious bana😂😂🤣🤣