Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Geza Ulole Tazama inlets mbili za Gerd zipo karibu kukamilika. Bado unaamini kwamba Dam hii (angalau turbines mbili) hazitaanza kuzalisha umeme mwaka huu?
Ni chuki na roho mbaya 🤣🤣👇👇
mkuu heshima yako kwanza.
Hamna kitu njaa ikiwazidi Mta reverse hiyo statement nakusema ilikua wrong results au mahidi yako Sawa sasa🙂🙂ujanja wenu tunaujua🙂Mbona iwe chuki ili hali kununua mahindi tanzania ilikua cheaper sahii bei ya unga itapanda kiasi kenya..... even to us it was a hard decision to make but for the better
Mahindi tutatoa Mexico hehe more cheaper hata maxima ya Uganda hatutakiHamna kitu njaa ikiwazidi Mta reverse hiyo statement nakusema ilikua wrong results au mahidi yako Sawa sasa🙂🙂ujanja wenu tunaujua🙂
Correct ,tena zamijengwa miaka ya sabini. Maendeleo Kenya siku nyingi.mkuu heshima yako kwanza.
izo nadhani ni hostel za UoN kama sjakosea
Nadedicate wimbo wa Saida Karoli kwa Watanzania wote. Wenye wivu wajinyonge.
Toa huu uchafu hapa
unazidi kuidhihirisha kauli yangu ya kuwatawala kisiasa kiuchumi na kijamiiNadedicate wimbo wa Saida Karoli kwa Watanzania wote. Wenye wivu wajinyonge.







Jibu swaliNioneshe hostel za kenyatta university hapa nicheke kwa sauti kubwa![]()
Umeweka nini hapa wewe.
Msumari huokwa umoja 'tunaijenga Tanzania like nobody's business
nyan'gau mtajibebaView attachment 1721769View attachment 1721770View attachment 1721771View attachment 1721772View attachment 1721773View attachment 1721774View attachment 1721775View attachment 1721777View attachment 1721780View attachment 1721781View attachment 1721782View attachment 1721783









Oooo!!sasawa..hapana, next?
haha am proud to be tanzanian not east african, but rather african in general.I think now if we join as EA, KE/TZ vs any block or nation in Africa on comparison analysis battle, no one will survive the onslought from the East.hili ni jitu(the real beast), Hapa kwa jukwa tunanyoroshana, wengine wanachukulia personal for nothing, wananuna bure
but of a truth sote tumepiga hatua kubwa! Am.proud being an East African in such a time kushuhudia mabadiliko!
![]()
Kwn UDSM ina idadi ya wanafunzi wangapiApp main wanakaa madogo 4000 poa izo hall zinakarabatiwa kwa sasa ila zianuwezo a kuchukua wanafunzi 1000 each siumeona zina floor 10
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mbona simon kakataaNdio manake zipo umbali kama wa 3km hv kutoka chuo
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mko vizur mji umejengwa vizuriNadedicate wimbo wa Saida Karoli kwa Watanzania wote. Wenye wivu wajinyonge.
leo umeni-bore aisee ngoja disappointment yangu itulie! yani mnalazimisha ugonjwa kwa mtu kisa mnamchukia! seriously? Nyie si watu JPM kaiba nn kwenu?Geza Ulole Tazama inlets mbili za Gerd zipo karibu kukamilika. Bado unaamini kwamba Dam hii (angalau turbines mbili) hazitaanza kuzalisha umeme mwaka huu?
View attachment 1721753