Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tumewazidi mbali kwe afya facilities sioni sababu ya magu kuruka maji akanyage kimba
Your propagandas are being undone kila uchao hakuna leader wa Africa amekimbilia Tanzania kimatibabu, ni shabiki zenu za kitoto tu, na propaganda kutoka kwa CCM kuwapumbaza tu, wakigonjeka wanakimbilia Kenya leaving the poor you behind in those hospitali uchwara, muonekano inawadanganyia hospitali sio majengo tu mkuu.
 
Tanzanians have u ever seen this kind of hatreg from Tanzanian towards kenya president or even citizens of kenya even wishing death to them just because they decided to do what's right for their country? The hate towards JPM from kenyans its going to haunt y'all. Wait and see..What i can say about kenyans is You are deserving whats coming...
 
Your propagandas are being undone kila uchao hakuna leader wa Africa amekimbilia Tanzania kimatibabu, ni shabiki zenu za kitoto tu, na propaganda kutoka kwa CCM kuwapumbaza tu, wakigonjeka wanakimbilia Kenya leaving the poor you behind in those hospitali uchwara, muonekano inawadanganyia hospitali sio majengo tu mkuu.
😂😂😂😂😂😂 ntajie jina la hiyo hospital tulinganishe hapa staki blablaa
 
Your propagandas are being undone kila uchao hakuna leader wa Africa amekimbilia Tanzania kimatibabu, ni shabiki zenu za kitoto tu, na propaganda kutoka kwa CCM kuwapumbaza tu, wakigonjeka wanakimbilia Kenya leaving the poor you behind in those hospitali uchwara, muonekano inawadanganyia hospitali sio majengo tu mkuu.
mbongolala atakuaminisha tanzania ni nchi ya asali na maziwa ila facts zikiwekwa hadharani zinawaumbua vibaya sana.....kwanza hili la magufuli waombe sana isiwe ukweli
 
Utasikia Tzn inaongoza kwa tiba za kibingwa E.A.C,ati wagonjwa kutoka mataifa jirani wanakuja bongo hakuna tena kupeleka wagonjwa nje ya nchi ikiwemo kwa rafiki wa beberu Kenya

Sasa security tight ya nini hapo Nairobi hospital kama Tzn iko well equiped? Mataga ya humu yameaibika kwa uharo wa kijinga.

Aliyembele muheshimu sio kukenua mdomo umejaa potholes na mapengo kwa dharau za kishamba.
 
Sio mbongo tafadhari ni hao mataga ya ccm ,kubwa jinga .Kuna kipindi pale walisema top officials are being airlifted for covid treatment in Kenya,mataga as usual yalibisha ,yakowapi sasa yanaaibika..wapi kishindo cha awamu ya tano?
 
Utasikia Tzn inaongoza kwa tiba za kibingwa E.A.C,ati wagonjwa kutoka mataifa jirani wanakuja bongo hakuna tena kupeleka wagonjwa nje ya nchi ikiwemo kwa rafiki wa beberu Kenya

Sasa security tight ya nini hapo Nairobi hospital kama Tzn iko well equiped? Mataga ya humu yameaibika kwa uharo wa kijinga.

Aliyembele muheshimu sio kukenua mdomo umejaa potholes na mapengo kwa dharau za kishamba.

1. mgonjwa wa Covid hatembelewi
2. Magu hawezi kuja nairobi
3. Walinzi wa Rais mna wajua.. wapigeni hata picha, kama mna hio audacity .. au pigeni picha kitu chochote kinachoashiria uwepo wa kitu cha kitanzania huo mf. magar ya TZ, walinzi wa Rais
4. Acheni spinning za kitoto
 
Naona majipu yalikuandama mpaka mnatafsili kitabu kisicho na maandishi
 
1. mgonjwa wa Covid hatembelewi
2. Magu hawezi kuja nairobi
3. Walinzi wa Rais mna wajua.. wapigeni hata picha, kama mna hio audacity .. au pigeni picha kitu chochote kinachoashiria uwepo wa kitu cha kitanzania huo mf. magar ya TZ, walinzi wa Rais
4. Acheni spinning za kitoto
Yote hayo kukufurahisha wewe au? Taarifa za kuzuia mahindi mlikanusha na hizi zimetoka haya kanusheni basi Ili Kenya iwaombe radhi

Maradhi sio disco huwa yanakuja na majibu,time will tell
 
Back
Top Bottom