Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwhyo tukatae tweet tuamini tweet..
Hapo endeleeni kujiumiza vichwa ukwel anaujua mkewe na watoto wake..
Sisi wengine ni kelele tu itakua tunapiga
Magufuli kwafanya nn mbona mukilala mukiamka ni yeye tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 1721488nation has no chills has already published the magufuli story and wanasema they been denied permission to mention a name due to diplomatic protocol magufuli akipinga lazima ataleta shida kwa wenye walitoboa siri 🙃
Who has not been appeared in public for two weeks hahahhha wakat magufuli juzi alikua anafungua miradi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 au mushasahau
 
It is sad that this guy denied the existence of covid but as soon as he contracted the virus he flies to Nairobi for treatment. Meanwhile ordinary Tanzanians are left feeling the full wrath of the virus, without formal treatment or vaccines.
JPM never denied existence of Covid-19,
Just propaganda in Media to win lazy followers like you,
He even admitted his own son Contacting Covid-19,
Last few days he admitted in Public several family mambers of his very own family contacted Covid-19 and recovered,
How do u say then he denied Covid-19 existence
 
Game over nyinyi hamujajua hawa kwann wanamchukia magufuli wao walitala magu afunge nchi uchumi uporomoke kabisa lakini sasa jamaa kaonekana anaakili africa kwakutofunga nchi sasa hicho kitu kimewauma sana
 
Huyu Mtanzania mwenye maono anasema kwamba hamjatoa kibano kwa Wakenya kwa sababu ya hali mbaya ya kiafya ya JPM.
Screenshot_20210310-093606.jpg
 
Hv mpo serious JPM aende kutibiwa KENYA? Mnajua ni pesa kiasi gani amewekeza kwenye hosp za taifa na wataalam kiasi gani waliosoma tangu aingie madarakani...itakua aibu sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mmewekeza kwenye ventilators kama Kenya au mlikuwa mko busy kupiga siasa kwamba Covid haipo? Ventilators ni expensive kununua na inachukua muda mrefu kuagiza na kufunga kwenye mahospitali. Kenya tuna ventilators vya kutosha ila corona ilipoanza hatukuwa na ventilators vya kutosha ikabidi tuagize vingine. Kwa sasa tunavyo vya kutosha. Halafu covid ina complications nyingi sana ambazo madaktari wenu hawana uwezo wa kuvitibu maana walikuwa wanadiagnose kila mtu kwamba ana pneumonia na kujitia hamnazo kwamba covid haipo nchini.
 
Wapi wamesema magufuli yupo nairobi kwa matibabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee nimeamini magufuli anawanyima usingizi
hawa watu tunawatawala ki siasa (marazote tz imekua kimbilio la wakunya kila politicalunrest znapotokea

hawawatu tunawatawala kijamii (gigymoney tuu ni super star mkubwa sana kenya, VP azam na nk kwa wakunya wote wanawish kua [emoji1241][emoji1241][emoji1241]

hawawatu tunawatawala ki uchumi tukifunga mipaka wanakufa njaa na uchumi wao uta shrink

so ni kawaida serkali yao kugain legitimacy kwa mgongo wa tz yani wako radhi to pay heavy price to satisfy their zombies
 
🤣🤣🤣🤣🤣 yani nimecheka sana kuona vile wanavoshindwa kulala wakimuwaza magufuli na sasa hata ukiwaangalia wanavohangaika nae yani wanamchukia utasema magufuli ndie anaewaibia pesa zao
 
Back
Top Bottom