Hapo ndipo nashangaa😅😅😅 yani nimecheka sana wanahangaika na magufuliMnapata taabu Sana ndo aliwambia amelazwa? Hizi media za Kenya sometimesuharo mtupu
![]()
Atakuscreenshot akurushe kwenye majukwaa sijui ya wapi, maana wale wanaopondea Tz huwa anascreenshot anaturushia hapa.Mimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.
Finally, Kisumu naijua vizuri. I was born in Kisumu and grew up in Kisumu for the first 10 years of my life. Bado nina relatives wengi Kisumu na kila mwaka lazima niende Kisumu kuwatembelea.
Leta official source kua kalazwa na kalazwa wapi??😀😀😀 ukipata nitag mmJamaa litaaga corona na linasema haiko![]()
Wakenya bana huyu jamaa amewatesa sana yani amewanyima usingizi miaka sasamanake munamfatilia kuliko kenyatta hebu niletee official source kua magufuli ni mgonjwa na anaumwa corona ukipata nitag mm
Yaani habari za kisenge sana🙄Hapo ndipo nashangaa😅😅😅 yani nimecheka sana wanahangaika na magufuli
Hapo hapo wanatuita malazy!Siku 3 zimepita tani 510 duh, hawa kweli tunawalisha
Wengine wanaishi hapa mabibo hostel
Sasa wewe tuoneshe hostel za kenyatta university na nairobi university tuzione sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1721326View attachment 1721327
ASA ndo unasema nini msela wangu🙄🙄🙄🙄mbona hueleweki au ndo zimepanda?🙂Jamaa litaaga corona na linasema haiko![]()
Waliopiga kura ni watalii wa dunia nzima sio mm😁😁😁 wewe unanilaumu mm kama vile mm nina makosa nimekwambia nitajie kitu kimoja tu ambacho sychelles kipo na zanzibar hakuna unaanza kulia tena wewe vipi bro unakwama wapi 😆😆😆
wewe kulichokuumiza kwanini zanzibar ishinde 😄😄👇👇👇
Usituweke kwenye kapu moja,mataga ndio mambumbumbu yanapatwa na orgasms na vitu vya kijinga.Nyinyi mmekua nyuma sana ndio mnajenga vi flyover na highway ya maana, plus ka brt.., we just look vile mnapata orgasms na vitu vya kawaida and by the way it is in Dar only., Tz Tz Tz
,
Ka BRT lini kenya ilijenga BRT???😅😅😅Usituweke kwenye kapu moja,mataga ndio mambumbumbu yanapatwa na orgasms na vitu vya kijinga.
Ukienda Bamako Mali kuna intachenji kali long time ago na ni nchi ya jangwa na migogoro lakini huwezi sikia makelele ya majinga ya ccm
Yani hawa wakenya wanaroho mbaya sana na wao huhisi tanzania ndio mhasimu wao mkubwa yani ni wajinga sana hawa jamaaKule youtube kuna mamia ya watalii wanapost mavideo wakila zanzibar,kwenye comment uwa wanawaonea huruma sana wakunya,uwa wanawaita waende na kwao kunyaland 😆
Alifungua nyuzi mbili mod wakazifuta sasa ameona aje kupost humu ili tuone upumbavu wake na upumbavu wa hao wanao zusha.Mnapata taabu Sana ndo aliwambia amelazwa? Hizi media za Kenya sometimesuharo mtupu
![]()
We subiri kituko🤣🤣🤣🤣mchina anakunya kwenye site alafu waje wazoe🤣🤣🤣Ka BRT lini kenya ilijenga BRT???😅😅😅
Kila kilichopo Tanzania wanakionea wivu,hii issue ya utalii inawauma vibaya mno nyang'auYani hawa wakenya wanaroho mbaya sana na wao huhisi tanzania ndio mhasimu wao mkubwa yani ni wajinga sana hawa jamaa