Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona iwe chuki ili hali kununua mahindi tanzania ilikua cheaper sahii bei ya unga itapanda kiasi kenya..... even to us it was a hard decision to make but for the better
Which better kua na roho mbaya 😆😆😆
 
Wakenya ukicheza nao watakumaliza kw presha manake sio kw zile tweets za jana aisee
Wakenya hata huwa wanalemea Wasauzi na Wanigeria kwenye zile battle za twitter. Wanigeria hawataki kabisa hizo battle za twitter wakisikia ni Wakenya wanatoroka. Hata CNN tuliwalazimisha kuomba msamaha waliposema kuwa "Kenya is a hotbed of terror."
Wakenya kwenye twitter walifanya Rais Uhuru atoroke kwenye twitter maana alikuwa anakula kibano kila siku.
 
Bwahaha!!km hostel sio za UDSM unasema tu wala sio kuleta mihemko ya kike hapa..
Unafikiria m nina hisia za kifala km wewe, we km umeshindwa na hoja tua tu..

Mabibo ni za provate sector au za UDSM si unasema tu

ni za private sector
 
Geza Ulole unaona nilichokuambia. Ukichukulia haya mambo seriously utapata matatizo ya moyo. Sasa inasemekana kwamba waziri wenu wa fedha ameletwa Nairobi kwa sababu ya corona na kwamba yuko kwenye coma. Haya mambo usiyachukulie serious unless walete evidence. Otherwise bila evidence usiichukulie kwa uzito wowote.
Hio ndio official source ???😄😄😄😄 munahangaika kuzushia watu mumemkosa magu sasa mumeingia kwenye finance minister 😝😝😝😝😝 hata aibu hamuoni
 
Mombasa likoni itafika hii level lini 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
93BBB1F8-B681-4C99-9EF5-1FD7319EF998.jpeg
B6C886E6-E0F6-4CE0-8A67-2727B93A4A7B.jpeg

 
haha am proud to be tanzanian not east african, but rather african in general.
i might sound pessimistic lakini sitounga mkono kuungana kenya na tanzania nmeishi na nyinyi wakenya nawajua kupitiliza
watanzania wengine wataona ni kheri lakini ni kwasababu hawajaishi na nyinyi tutashindwana mwisho wa siku trust me young man

EAST AFRICA sio Tanzania pekee na hii ni battle ya kimaendeleo sio chuki kama unavyo dhani na hata baadhi viongozi naimani hii battle wanaijua kiufupi hatuna chuki na kenya hutasikia hata siku moja tunashangilia JWTZ kupeleka vifalu kenya au KDF kuleta vifalu TZ mkuu hata ukiasoma thread description inajieleza na kama ikitokea vita vya kulipuana mabom Tz na Ke nalo litafunguliwa thread ila tusiweke chuki za namna hiyo moyoni naamini hawakosekani wakenya ambao nao watasema wametendewa vitu vya hovyo na wabongo hayo yapo tu

NB. ningumu sana kumkuta mkenya huko nje ya Africa akasema ametokea kongo kama kutaja nchi yake italeta shida wengi husema ametokea TZ na kwa mtanzania ni hivyohivyo ni husema kenya
 
Ona mijitu ilipofkia leo mzungu anatucheka watu kuzushiana vifo as if leo kufa ni kitu cha ajabu inaskitisha sana
 
Back
Top Bottom