Ninyi ni watu wa hovyo sana, kamwe hamtoweza kuelewana na jirani yoyote. Kwanini hamfuati taratibu za kutatua migogoro kati ya nchi za EA kama tulivyojiwekea katika EAC?.
Kenya ilipaswa kufuata taratibu zote za kutatua migogoro kwa kuzitaarifa nchi za Tanzania na Uganda kwa maandishi na kutoa "evidences" ili hizo nchi zichukue hatua za kurekebisha hayo mapungufu kabla ya kuzuia hayo mahindi.
Hata Uhuru Kenyatta alikurupuka kuzuia gari na wasafiri toka Somalia na Tanzania wakati wa Corona, Tanzania kupitia mkuu wa mkoa wa Tanga alipozuia Magari toka Kenya kama kulipiza kisasi, mlianza kulialia, tulipopiga marufuku ndege za Kenya kuja Tanzania ndio mkashika adabu, kwanini hamjifunzi kuishi na majirani wenu kwa Amani na kuheshimiana?, Somalia, Uganda, Tanzania, kote huko mnaanzisha migogoro.
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app