Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngara =posta,kariokoo and upangaView attachment 1697031
Huo ujinga wa kuitajataja Posta kwa vitu vyakitot acha pimb ww jaribu bati yenu
JamiiForums299753569.jpg
 
Nimekuwa nikijiuliza, Mbona Watanzania hujibu vitu vizuri za Nairobi, kwa picha mbovu za Kibera.....?

Lakini nimepata kuelewa.

Ukimwambia Mtanzania hapa ni Eastlands Nairobi, atakataa na kuja na takwimu za slums in Nairobi
View attachment 1696919
View attachment 1696920

Ukimwambia kwamba hapa ni Kasarani, ataenda kutafuta picha mbovu ya slums Nairobi.
View attachment 1696921

View attachment 1696923

View attachment 1696924

View attachment 1696925

Ukimweleza hapa ni Runda Nairobi, atakweleza nyumba za wabeberu kisha arudi Kibera,
View attachment 1696946

Ukija useme KIambu ipo kwenye Nairobi Metropolitan Area, atakuletea Map ya Nairobi County aseme Kiambu si Nairobi
View attachment 1696949

Nimepata ufahamu, kwamba Dar es Salaam can not compare with Nairobi.
It can only compare with Slums in it,
Because the whole of Dar es Salaam ni slum.

Another thing, Tanzanians don't watch videos about Kenya posted here, so Kenyans just take screen shots for them
They hardly have equal response to measure up, vijisababu tu, hawapendi ukweli na aibu., nimewaelewa no debate just trolls.
 
Am not refusing. Slums zipo, shida nyinyi hulinganisha Dar na slums. You can only compare two comparable things.

Ina maana, Dar inafanana na Kibera. Ndivyo mtu akileta picha ya Nairobi nzuri, Hamleti picha nzuri ya Dar kulinganisha bali kina Ichoboy wanakimbilia Kibera.
So wewe na mzungu nani mwenye akili kwamba mzungu kaona slum za dunia nzima hakuona ya dar au???🤣🤣🤣👇👇👇
Tatizo lenu nyinyi munataka kulazmisha tufanane wakat haiwezekani tukafanana mzungu sio mwehu afunge sattelite hewani asione slum dar never ever
7CAF320D-6A74-4E50-8157-6FC9B12EE568.png
3AD41883-D2F5-4E06-B57D-C475AA861AF7.png
 
Mna ardhi kidogo na kama mnavyosema sehemu kubwa ni semi arid sasa iweje mue 50+M wakati kenya ni nusu ya eneo zina la Tz?....
Kwani mnatumia akili kufikiri Au matako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Semi arid or arid sio issue., being industrious is key. The reason mko na aedhi kubwa yenye rotuba kote kote, madini, pwani kubwa, but look where u are?, Hamfai kua mention even with Kenya but u are way below! Hamuoni ni aibu?., So sio ukubwa ama jangwa kwa ardhi, ni industrious ability ya it's citizens., Our population is 47million, mkatae mkubali, hamtuongezei number.
 
Semi arid or arid sio issue., being industrious is key. The reason mko na aedhi kubwa yenye rotuba kote kote, madini, pwani kubwa, but look where u are?, Hamfai kua mention even with Kenya but u are way below! Hamuoni ni aibu?., So so ukubwa ama jangwa kwa ardhi, ni industrious ability ya it's citizens., Our population is 47million, mkatae mkubali, hamtuongezei number.
Manake basi tz tulifaa kua 94M kwasababu ardhi yetu ni karibu mara mbili yenu!!

Suala la maendeleo ni kweli hapo tumechemka hapo nmekubali
 
Tanzania eneo lake ni zaidi ya jumla ya Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.
Tanzania population yake ni 60m
Kenya 53m, Uganda 45m, Rwanda 15m na Burundi 11m
Total ni 124M

Kwa statistics hizo nani anazaliana hovyo!?
If ukubwa wa eneo had any bearing on your population hamngekua mentioned in any extreme poverty index report, so it is not about the size ya ardhi it is the industrious ability ya raiya na strength ya economic output. The reason many desert countries are doing far better than green ones. Na Kenya is above you whether u like it or not. Aibu.
 
wacha nikucheke tu., such shenanigans wachia ichoboy01 atetee fishing village, wewe discuss mambo mengine., , napenda anavyo expose Dar yote., the dude is a die-hard Dar fanatic., just another Mombasa kubwa.
Bado unalia na ichoboy😀😀😀 kisa anawapa dawa vyema, huo ushuz unaoitwa mombasa mm sijui utanidanganya nn wakat mwanza kwenye suburb mombasa inaweza subiri miaka 20😅😅😅😅😅
 
Semi arid or arid sio issue., being industrious is key. The reason mko na aedhi kubwa yenye rotuba kote kote, madini, pwani kubwa, but look where u are?, Hamfai kua mention even with Kenya but u are way below! Hamuoni ni aibu?., So so ukubwa ama jangwa kwa ardhi, ni industrious ability ya it's citizens., Our population is 47million, mkatae mkubali, hamtuongezei number.
Density ya Kenya ni watu 80 per square kilometer, while Tanzania 47 per square kilometer.

Bado unabisha kuwa mnazaliana hovyo.
 
Nashukuru kwamba umekubali mradi unaendelea vizuri. Sasa ninangoja maoni ya Geza Ulole kuhusu progress ya mradi huu.
Nacheka kuona mradi utaomilikiwa na mchina kwa miaka 30, mradi ukaotoa ajira kwa wachina kwa ajili ya kuusimamia ma maintenance kwa miaka 30, mradi ambao mkenya atalipia kwa miaka 30 kwanzia boda boda 100ksh mpaka magari 1795 ksh hapo ndipo patamu zaidi 😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom