Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu kama Tony anajitambua wakati mwingine tusibishe kwa sababu ya kubisha tu,tukiwa wazi kwa mapungufu yetu ni rahisi kuyarekebisha baada ya miaka kadhaa mategemeo yangu tutakuja kuungana na kugeuza battle hii kuwa battle between East na West Africa,acha saa hii tuchapane makonde kisawasawa,kinachotakiwa tukuze uchumi wa nchi zetu na kuwekeza kwny ground kwa manufaa ya watu wetu wote.East Africa ina rasilimali nyingi sana.
Agreed[emoji120][emoji123]
 
Mimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.
Finally, Kisumu naijua vizuri. I was born in Kisumu and grew up in Kisumu for the first 10 years of my life. Bado nina relatives wengi Kisumu na kila mwaka lazima niende Kisumu kuwatembelea.

Sasa hapa battle ndo imekuwa serious Tony254 kaonesha mfano mzuri sio yule bwana wa Everything is good
 
Mtu kama Tony anajitambua wakati mwingine tusibishe kwa sababu ya kubisha tu,tukiwa wazi kwa mapungufu yetu ni rahisi kuyarekebisha baada ya miaka kadhaa mategemeo yangu tutakuja kuungana na kugeuza battle hii kuwa battle between East na West Africa,acha saa hii tuchapane makonde kisawasawa,kinachotakiwa tukuze uchumi wa nchi zetu na kuwekeza kwny ground kwa manufaa ya watu wetu wote.East Africa ina rasilimali nyingi sana.

Mkuu labda tatizo lije upande wa lugha gongana baadhi ya western africa hawatumii English apart from that kama hao members wanapatikana battle west vs east africa kama iwe na iwe kwani kipindi hii battle inaanza dar ilikuwa ni takataka kwa nairobi but now we in the one league
 
Mimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.
Finally, Kisumu naijua vizuri. I was born in Kisumu and grew up in Kisumu for the first 10 years of my life. Bado nina relatives wengi Kisumu na kila mwaka lazima niende Kisumu kuwatembelea.
Now see how you are reacting without getting the angle of my response, you argued based on ignorance and I corrected your ignorance, who said a country can develop without industrialization? Nionyeshe mahali nimepinga industrialization?[emoji848][emoji848][emoji28][emoji23] Wacha kunechekesha, hasira za kitoto peleka mbali, mature na usimame kidete Kama mwanaume, responding sufficiently, answering point with point, sio kumwaga povu kitoto, eti msomi wa economics[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], thank you kwa kunijuza. I wasn't arguing against your economics reasoning neither was I arguing against your opinion about benefits of industrialization and your suggestions about stopping second hand clothes blah blah, did u read keenly and understood ama umepata ugonjwa wa makajamba wengine humu ya kukurupuka hovyo?[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], Sasa umeamua kunitukana eti?[emoji28][emoji23][emoji23], Quote me nione mahali niliandika eti malls are better to industrialization? , the reason nakuambia you argue without facts, even an obvious fact yenye iko humu what I didn't say unasema mini nimesema[emoji848][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]., Check my response again, mwana mchumi.
Ungepinga all I said about issues that surrounds the lake basin mall and all I said about Kisumu, contrary to your insinuations. Get a grip of yourself man, you argue like a novice and yet you claim to be schooled. Kuja pole pole. Prove that you are schooled from now henceforth, never insinuate nor guess, if not sure, just say it's an opinion. Haupigwi
 
Mimi nimesoma uchumi na siongei ujinga au ignorance kama wewe unavyofanya. Ukisoma any economics textbook itakueleza jinsi kitu inachofanya nchi ziwe first world ni kujenga industries na kuproduce manufactured goods. Wewe ndio uneducated fool for thinking that Kenya can develop simply by building malls. Nionyeshe nchi yoyote iliyokuwa industrialized simply by building malls. Wewe ndio mjinga wa mwisho for arguing that Kisumu will industrialize without building industries. Tafuta rika yako wa kuargue naye mimi siko level yako. Mimi nitakuignore from now on hata ukinimention juu sina muda na ujinga wako.
Finally, Kisumu naijua vizuri. I was born in Kisumu and grew up in Kisumu for the first 10 years of my life. Bado nina relatives wengi Kisumu na kila mwaka lazima niende Kisumu kuwatembelea.
Hehehehee, namna hii bhn hakuna kuogopana eti kisa ni Nationals wa nchi moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Now see how you are reacting without getting the angle of my response, you argued based on ignorance and I corrected your ignorance, who said a country can develop without industrialization? Nionyeshe mahali nimepinga industrialization?[emoji848][emoji848][emoji28][emoji23] Wacha kunechekesha, hasira za kitoto peleka mbali, mature na usimame kidete Kama mwanaume, responding sufficiently, answering point with point, sio kumwaga povu kitoto, eti msomi wa economics[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], thank you kwa kunijuza. I wasn't arguing against your economics reasoning neither was I arguing against your opinion about benefits of industrialization and your suggestions about stopping second hand clothes blah blah, did u read keenly and understood ama umepata ugonjwa wa makajamba wengine humu ya kukurupuka hovyo?[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], Sasa umeamua kunitukana eti?[emoji28][emoji23][emoji23], Quote me nione mahali niliandika eti malls are better to industrialization? , the reason nakuambia you argue without facts, even an obvious fact yenye iko humu what I didn't say unasema mini nimesema[emoji848][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]., Check my response again, mwana mchumi.
Ungepinga all I said about issues that surrounds the lake basin mall and all I said about Kisumu, contrary to your insinuations. Get a grip of your self man, you argue like a novice and yet you claim to be schooled. Kuja pole pole. Prove that you are schooled from now hence forth, never insinuate nor guess, if not sure, just say it's an opinion. Haupigwi

Hey guys thats enough inspite of and that is the part of the battle but please let it be like it was no one will lose or win
 
Mkuu labda tatizo lije upande wa lugha gongana baadhi ya western africa hawatumii English apart from that kama hao members wanapatikana battle west vs east africa kama iwe na iwe kwani kipindi hii battle inaanza dar ilikuwa ni takataka kwa nairobi but now we in the one league
West Afrika ni baadhi tu ya nchi tena I dare to mention it, it's Nigeria na hata hyo Nigeria yenyewe pia ni failed state, GDP kuubwa groundly ushuzi mtupu. Labda kdg niongeze na Ghana, the rest ni takataka.
 
[emoji736]
Tupeane facts tu alafu kama kuna sehemu kumevurugwa tunasema wazi sio kila kitu tunasifia au kuponda....
Sober reasoning. Uzi ulianza hivyo along the way came blind Patriots na waongo na wapondaji tu., What do u expect?[emoji23]
 
Wengine hao wameomba kutumia uwanja wetu.
Screenshot_20210309-161812.jpg
 
West Afrika ni baadhi tu ya nchi tena I dare to mention it, it's Nigeria na hata hyo Nigeria yenyewe pia ni failed state, GDP kuubwa groundly ushuzi mtupu. Labda kdg niongeze na Ghana, the rest ni takataka.

Thats good maana hata hapa EA sanasana ni KE na TZ kwa Afrika nchi inayo nitisha ni SA na hao arabs ila hao western A wakipatikana members tunafungua battle
 
West hawatuwezi na pia waharabu sidhani ata kama wako juu, kuna advantages mingi EAC iko nazo zaidi ya hao wa North, it's just time utaona, East Africa is the next frontier in Africa, liko wazi Kama huwa unatazama business news, the only part of Africa with fastest growth.
 
Back
Top Bottom