Siku ya tatu hii inaisha na bado hakuna kitu chochote mlichotufanya. Tunangoja kipigo au mnatuogopa?
Sisi tunajua mahali pa kuwafinya hadi mtoe unyende. Nyimbo za "tunawalisha" zimekatika ghafla. Hahaha. Nyinyi mtajua baba yenu ni nani ukanda huu.
Zaidi ya waziri wenu Msomali wa Kilimo kulia sana mitandaoni hakuna jambo lolote mlichotufanya. Mumekaa kimya.
dawa nzuri sharti iandaliwe vyema.Inaonekana mnajua kwamba sisi ndio superpower wa ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati na hakuna jambo lolote mnaloweza kutufanya. Endeleeni kukaa kimya. Na siku nyingine msirudie tena kusema kwamba mnatulisha. Mkome kutoa kauli hiyo.
Hivi ile Shekilango alijenga nani? Nilipoiona wakati inajengwa niliiponda kuwa jamaa wanaungaunga tu, ila ilipoisha ndio nikajua wale watu wanajua wanachokifanya. Hata hii kilwa road nilisema jamaa wanaungaunga ila kwa nilichokiona Shekilango baada ya kuisha, naondoka kauli yangu kuwa jamaa wanaungaunga, ikikamilka nitatoa verdict.Juzi nimepita ile njia ya Kilwa Road nikaona ule mradi wa BRT wachina wanajenga,
That's purely substandard,
Picha mkuu.Hivi ile Shekilango alijenga nani? Nilipoiona wakati inajengwa niliiponda kuwa jamaa wanaungaunga tu, ila ilipoisha ndio nikajua wale watu wanajua wanachokifanya. Hata hii kilwa road nilisema jamaa wanaungaunga ila kwa nilichokiona Shekilango baada ya kuisha, naondoka kauli yangu kuwa jamaa wanaungaunga, ikikamilka nitatoa verdict.
Btw ndio njia yangu kila siku, wanafunga jukwaa uhasibu ili wamwage zege la flyover.
Kesho asubuhi nikipita nitapiga picha.Picha mkuu.
dawa nzuri sharti iandaliwe vyema.
isiwe kama chanjo ya covid.
subiri kitambo si kingi utajua maana ya ujinga mliofanya.
Si tulisikia wameagiza
ya kutosha kule "mekiko"yaani 


Ninyi ni watu wa hovyo sana, kamwe hamtoweza kuelewana na jirani yoyote. Kwanini hamfuati taratibu za kutatua migogoro kati ya nchi za EA kama tulivyojiwekea katika EAC?.hili jambo la aflatoxins kwa mahindi ya Tz na Ug ni ukweli, imekua kwa muda, I knew it in 2018 or 2019 through maize business, mahindi ya Ug na Tz zilikua zikifanyiwa test if u are especially selling kwa maize millars level za aflatoxins zilikua zaidi ya viwango, inabidi uuze kwa masoko ama animal feeds, ilisemekana pia wakulima hawakaushi mahindi vizuri ipasavyo. But naona kama kawaida mnaweka siasa. Inawezekana inaeza kua tactic ya ku protect wakulima wa Rift valley na trans nzoia kwa maana wao ndio wakulima wakubwa wa mahindi na ngano., but sidhani. Nahurumia wakulima na wanabiashara wa Tz., ni pigo!
Naona mnabweka bweka mitandaoni bila kuchukua hatua yoyote. Mnatia huruma.
Kwani ni mm niliopiga kura?? Unanilaumu mm waiopiga kura ni hao hao wazungu hususan watalii wanaoijua vyema zanzibar na maritius 🤣🤣🤣🤣 usinilaumu mm na hakuna haja ya kulia sasaZanzibar unaeza linganisha na Seychelles kuikweli?, An upper middle income, zero poverty! pengine wanamaanisha beaches na starehe za kipwani, kwingine Zanzibar ni ushuzi 90%., tusidanganyane
, Seychelles na Mauritius ziko ligi yao ya juu hapa Africa.
Haya mujioneee ushuzi🤣🤣🤣🤣Hzo kelele zote kwanza za nn, mwanza kuna kitu km hichiView attachment 1719869
upo dunia gani wewe? nyangau kashaufyata ....kalegea, mahindi yanaingia kama kawaidaSiku ya tatu hii inaisha na bado hakuna kitu chochote mlichotufanya. Tunangoja kipigo au mnatuogopa?
hawana ujanja huo,,,,lazima yaingieupo dunia gani wewe? nyangau kashaufyata ....kalegea, mahindi yanaingia kama kawaida


yaani viongozi wa kenya ni zeroo kabisa,,,tuendelee kujionea vituko,,,,wamekaa watu wachache mezani kwasababu wana hila na chuki zao binafsi na Tz ,,wakapanga ya kwao wakapata cha kukizusha na kukiibua public ili waaminishe dunia kuwa Tanzania na Uganda kuwa mahindi yetu yana sumu,,


Which media group is that? to even dare to compare to Sahara media group?Hzo kelele zote kwanza za nn, mwanza kuna kitu km hichiView attachment 1719869