Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
hata mimi mkuuwameni-bore kutoweka daraja!
hata mimi mkuuwameni-bore kutoweka daraja!
Lakini Nairobi ina sehemu nyingi nzuri mbona unapotosha wenzako hapa kwamba Nairobi nzima ni chafu? Hilo hata wewe unajua sio kweli. Unachaguachagua picha mbaya za kupost. Kama ungekuwa mngwana ungepost picha zote nzuri na mbaya lakini kuchagua mbaya ili kufurahisha wenzako sio jambo nzuri. Nairobi ipo tu sawa kwa usafi hususan kwenye city centre. Pia Nairobi imejengeka sana mbona usipost picha za skyscrapers ama unaona woga kwamba wenzako watakupiga?Ndioo sema kuna picha zingine Noma kupiga hata simu yangu inaweza kuchanganyikiwa🤣🤣🤣kwa uchafu🤣🤣
hiyo city ni kiboko sasa hivi hawa chokoraa ndiyo wamekuwa vichaa rasmi yaani city zinazalishwa ndani ya city...jamani mumeona city




Jamaa zako wanakulupukiaga tu mtu ila wewe nakuona upo uniqueAnafanya na UNHCR jamaa Shebby01 lazima analipwa vizuri.
WHO wenyewe washasema kuhusu ubora wa hiyo chanjo
Hapo juu umezungumzia kuwa kenya ishalink na ethiopia tayari kununua umeme na kwa namna unavyoshare inaonesha kuwa unakubali kuwa kwenye kujenga bwawa la umeme Ethiopia wamefanya kitu cha maanaWamekuwa wakisumbuliwa na Egypt sana. Wanajenga mradi wa $4.5 billion (6,000MW) kwa pesa yao ya ndani kwa sababu hakuna benki yoyote inayoweza kuwakopesha. Mama mboga na wamachinga wa huko ndio wanachangia ile pesa kidogo wanayo. Ila wamepiga hatua kubwa maana turbines mbili zitaanza kuzalisha umeme mwaka huu. Turbines zingine na nyumba za turbines zingine zitaendelea kujengwa polepole lakini hizi hapa chini mbili ziko karibu kukamilika.
View attachment 1711535
Omba omba kama huyukutokana na majibu yako inaokena umeishi kenya sana...je wajua ni kwa nini?? ni kwa sababu ulikuja kujitafutia riziki huku kenya kwa maana kwenu tz mna viongozi bure na nchi yote kwa jumla ni watu wa vivu, wanyonge na ndio kwa maana hakuna kazi wala njia za kujipatia mkate wa kila siku... hizi slums za kenya zime jaa wageni kutoka nje sanasana kutokea tz... je wajua omba omba wote kenya ni wakutokea tz pia ...kwa hivyo karibuni sana ndigu zetu sisi twawakaribisha na twa wapenda....kenya hapa east africa ni nchi ilio stawi na ndio kwa maana wa tz huja huku kujitaftia riziki
?Usijali nta post hata moja basiLakini Nairobi ina sehemu nyingi nzuri mbona unapotosha wenzako hapa kwamba Nairobi nzima ni chafu? Hilo hata wewe unajua sio kweli. Unachaguachagua picha mbaya za kupost. Kama ungekuwa mngwana ungepost picha zote nzuri na mbaya lakini kuchagua mbaya ili kufurahisha wenzako sio jambo nzuri. Nairobi ipo tu sawa kwa usafi hususan kwenye city centre. Pia Nairobi imejengeka sana mbona usipost picha za skyscrapers ama unaona woga kwamba wenzako watakupiga?

Hapa ni thika road
Kwenye render nimeona kuna daraja.hapo daraja watajenga kweli......?
Wacha ujinga. Ethiopia tayari wanaconsume more than 4,000 MW. Halafu wana deficit ya umeme. Yaani hio 4,000 MW haiwatoshi maana wana industries nyingi. Wao wanahitaji umeme mwingi na kampuni nyingi za kichina zinahamia Ethiopia sasa hivi. Nyinyi upande mwingine mnaconsume only 1,400 MW ya umeme na mnajenga dams kama nne with total output of more than 3,000 MW. Nyinyi hamtumii umeme kwa wingi kama Ethiopia.Hapo juu umezungumzia kuwa kenya ishalink na ethiopia tayari kununua umeme na kwa namna unavyoshare inaonesha kuwa unakubali kuwa kwenye kujenga bwawa la umeme Ethiopia wamefanya kitu cha maana
Ila sisi la kwetu mnaona sio jambo jema kumbe kimoyomoyo mnaumia! 😀