Hio powerstation niliokuonyesha awali ipo karibu kukamilika ila kuna hii hapa ambayo bado ipo mbali kidogo na itachukua muda kukamilikaNice one ila mradi upo slow, bado hawaja-install Francis Turbines! pili sioni power substation sioni!
![]()
![]()
24/02/2021Deal kwanza na issues zenu za Unmarked roads na uchafu DSM sio level yenu amigo![]()
View attachment 1711336View attachment 1711337



Vaccine ya Johnson and Johnson ndo ime-prove more effective according to yesterday news!Tumemaliza. Imetestiwa kwa mwili ya watu 1.2 million huko Israel na inafanya kazi. Hii vaccine ya pfizer iko very effective. Lakini hamuwezi kuiafford maana hamna hio pesa ya kununua.
wanafunga unaona huko pembeni maji yataingia kuizungusha halafu yatatoka hapa kwenye hizo bomba kubwa!Turbines zimeshaagizwa na zitawasili soon maana mwaka huu lazima wafunge turbines mbili na zitazalisha 375 MW × 2 = 750 MW.
Halafu mimi sio engineer bali najua kwamba hili shimo hapa chini ndipo ambapo turbine itashushwa. 👇 👇 👇 View attachment 1711538
Power substation walishajenga zamani sana.
Akitukana wewe muongezee tusi prokapanic,,halafu hakunaga kuheshimiana baina ya mkenya na mtz,,,,,,
akikupa tusi nawe unampa zaidi ya tusi au kumkejeri tu,we endelea kutwanga mapicha huyo anadhani kuwa ni mara yako ya kwanza kufika nairobi![]()






Kumbe bajeti yako unaweza tu afford Tom Mboya street kwenda chini na unatusumbua na picha hapa!! 😂 😂Hamna tulikuwa tumeenda Kula sehemu moja hivi 🙂
Kusoma ndio hujui ama? Nimesema staki library ya Shule. What I want to see is Tanzanians National Library.![]()
Maktaba kubwa zaidi Afrika Mashariki yazinduliwa Tanzania | DW | 27.11.2018
Rais John Magufuli amezindua maktaba ya kisasa ya mfumo wa teknolojia ya mawasiliano na ambayo inaelezwa kuwa kubwa zaidi Afrika mashariki.www.google.com
Soma hiyoView attachment 1711435
Sawa nguruwe.We msafisha mitaro ntaenda popote pale ntapiga picha sehemu yote Ile Sawa![]()
Waonye basi hawa ndugu zako wanaoamini kirusi haipo kwenuFact iko kwamba ugonjwa upo suala la viongozi kukubali au kukataa ilo watajua wao
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
kutokana na majibu yako inaokena umeishi kenya sana...je wajua ni kwa nini?? ni kwa sababu ulikuja kujitafutia riziki huku kenya kwa maana kwenu tz mna viongozi bure na nchi yote kwa jumla ni watu wa vivu, wanyonge na ndio kwa maana hakuna kazi wala njia za kujipatia mkate wa kila siku... hizi slums za kenya zime jaa wageni kutoka nje sanasana kutokea tz... je wajua omba omba wote kenya ni wakutokea tz pia ...kwa hivyo karibuni sana ndigu zetu sisi twawakaribisha na twa wapenda....kenya hapa east africa ni nchi ilio stawi na ndio kwa maana wa tz huja huku kujitaftia rizikiWe choko Nataka nifike kariadudu home kwako 🙂
Atakuambia ni Dar ya 90s 😂
Mtafunga turbines mwaka huu lakini nyaya za umeme kati ya Kenya na Tanzania bado haujakamilika. Hata sijui ujenzi umefikia wapi. Sitashangaa ikiwa ujenzi bado haujafikia 50%.wanafunga unaona huko pembeni maji yataingia kuizungusha halafu yatatoka hapa kwenye hizo bomba kubwa!
![]()
JNHPP pia itaanza kufunga turbines mwaka huu!
hapo daraja watajenga kweli......?soko la kisutu ni zuri na linavutia kuliko kunyan state houseView attachment 1711456View attachment 1711457View attachment 1711458View attachment 1711459