Yani maisha ya watu wa kawaida dar ni sawa tu na maisha ya watu wa kawaida hku kwetu mashinani kw kenya..Hata mimi nimeshangaa. Yaani hio Tsh 30k si ni ksh 1,500. Yaani rent huko ni cheap vipi? Yaani nyumba ni ya mawe na imepigwa rangi vizuri na ni ksh 1,500. Nairobi kurent nyumba ya mawe/matofali ni around ksh 4,500 kuenda juu.
Hakuna UNHCR hapo... hawa ni wale wa Chagaa wa Gikomba. The areas anaranda randa ni route za kwenda Gikomba..... kwanza on foot.😂 😂 😂 Jamaa wa UNHCR anazurura downtown Nairobi! Acha tu ninyamaze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi highway finishing [emoji846]
Mshikaji kapewa eneo[emoji846]View attachment 1711584
Usimlaumu sana, kiswahili hajui vizuri na mbona mwnwye pia keshalisema hilo..duuh yani mmeziclasfy kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mawe na tofali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante kwa kukubali Nairobi kuna vibanda😄😄I would advise you to look for places you can afford. Nyuma ya Afya Center kuna vibanda vya kula unaezaenda kunywa uji na mahindi choma huko[emoji1787][emoji1787][emoji23]. Kama huko ni mbali nenda nyuma ya TUK pia utapata vibanda.
Ntapost mkuu mpaka watakoma🙂Tulieni dawa iwaingie.
Unakumbuka huyu Levi alivyo kuja Dar Es Salaam alikuwa anafanya nini humu?
Shebby01 post picha wasikuletee makasiriko.
Halafu mbona mnatumia picha ya Dar [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1711606
Matofali ya kuchoma ya mchina[emoji846]View attachment 1711621
Kaingia mitini anasikilizia Kwanza🙂chini kupo kama kigoma.. full udongo!
mzee wa road markings yuko wap atoe neno hapa
Utafikiri ndo unaingia kasulu[emoji2]chini kupo kama kigoma.. full udongo!
mzee wa road markings yuko wap atoe neno hapa
Mbona lami imelimwa hapo utafikiri walitaka kupanda mihogo?Muwe mnajitahidi hata na kufanya usafi basi[emoji846]
View attachment 1711622
What meaningful thing did u do to fight against Corona VIRUS that we Tanzanians did not do? Wearing masks, night curfew/lock down, washing hands? If it was that simple to defeat corona by these simple hygene procedures then chinese, europeans, americans and others would have not lost millions of people. Infact, the only thing that Tanzania did not do in fighting the corona virus is the stupid night curfew or lockdown? SO DON'T BOAST JUST PRAISE THE ALMIGHTY GOD FOR PROTECTING THE AFRICA CONTINENT!Waru wa maji maji rebellion naskia history is about to repeat itself 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 corona ipo ama haipo tanzania??? Mliomba ikaisha.... Sasa tuambiane ukweli. Ama rahisi wenyu alikua ready to sacrifice you all to ensure election is not postponed lucky you corona is not that vicious we could dancing on top of your graves just coz your president wanted to be re elected
Kadri siku zinavyoenda inazidi kufadeout na tope kujaa kwenye joints, baada ya miezi kadhaa tutegemee madimbwi hapoTony hapa mmejitahidi Sana [emoji846]View attachment 1711631View attachment 1711632
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Poor finishing mkuuMbona lami imelimwa hapo utafikiri walitaka kupanda mihogo?
Au walishavuna
Jamaa hawana maintainance nzuri kwenye Barabara zao🙂Kadri siku zinavyoenda inazidi kufadeout na tope kujaa kwenye joints, baada ya miezi kadhaa tutegemee madimbwi hapo