Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
11196C0B-2CE2-4A2E-B8B7-9CAA4F3CC32E.jpeg
2593D0FC-02E6-4BF9-90A2-6E6EE927A84C.jpeg
255C47CD-F02C-42BA-B913-7B85E02B571B.jpeg
 
Hao wanatumiwa mzee baba, tangu yule CEO wao wote ni vibaraka..
Hyo kampuni ina wenyewe unafikiria hapo ni bure bure..
Sasa subiri aseme anatoka uone vile atalia na kusaga meno
masuala ya intertainment siku zote yana wigo mpana,si kitu cha kufanya peke yako ,mwanamuziki ama msanii yeyote yule anayepiga pesa nyingi lazima awe na wadau .....uacheushamba...
haujui masuala ya sanaa kaa chonjo
 
Mitambo heavy duty ya publications

Vitabu vya shule sasa kuchapishwa na kiwanda cha serikali yenyewe bila kupitia utaratibu wa procurement and supply, Magu kaivalia njuga elimu ya Tanzania

Wale suppliers wa wizara ya elimu wataanza sasa kumchukia Magu na serikali yake, ndio watu kama choice variable hao

Tanzania Elimu Supply, Nyerere karudi kivingine.
 
Mitambo heavy duty ya publications

Vitabu vya shule sasa kuchapishwa na kiwanda cha serikali yenyewe bila kupitia utaratibu wa procurement and supply, Magu kaivalia njuga elimu ya Tanzania

Wale suppliers wa wizara ya elimu wataanza sasa kumchukia Magu na serikali yake, ndio watu kama choice variable hao

Acha wivu mzee🙂hakuna mji wowote ule wa Kenya unalingana na miji ya Tanzania kwa usafi na mpangilio hata wewe unajua hilo sishangai ukichukia🙂
Hapo kwa mpangilio umechemsha. Dar es Salaam haina mpangilio nje ya CBD. Kama unapinga tazama aerial photos za makaazi ya watu ndio utaona jinsi Dar haina mpangilio wowote. Basically watu wanaishi kokote wapendao na hata hakuna city planning iliyofanywa pale. Most of the makaazi ya Dar ni unplanned settlements. We can easily tell this when we look at aerial photographs. Huwezi kutudanganya kwamba Dar is a planned city. Isipokuwa maeneo machache ya CBD, the rest ni unplanned na ndio maana ukitazama makaazi ya Dar kutoka juu unapata kichefuchefu maana hata hakuna barabara ya kutosha, nyumba zimefinyana hakuna hata road reserve katika baadhi ya maeneo haya.
 
that issue was dealt with immediately, ingekuwa ni bongo i bet hainge make headlines

trend19-12.jpg
syosambu.jpg
images (12).jpeg
 
Hapo kwa mpangilio umechemsha. Dar es Salaam haina mpangilio nje ya CBD. Kama unapinga tazama aerial photos za makaazi ya watu ndio utaona jinsi Dar haina mpangilio wowote. Basically watu wanaishi kokote wapendao na hata hakuna city planning iliyofanywa pale. Most of the makaazi ya Dar ni unplanned settlements. We can easily tell this when we look at aerial photographs. Huwezi kutudanganya kwamba Dar is a planned city. Isipokuwa maeneo machache ya CBD, the rest ni unplanned na ndio maana ukitazama makaazi ya Dar kutoka juu unapata kichefuchefu maana hata hakuna barabara ya kutosha, nyumba zimefinyana hakuna hata road reserve katika baadhi ya maeneo haya.
Hili ni tatizo sugu la nchi nyingi za kiafrika, hata kwenu pia maeneo mengi ni hivyo hivyo tu unplanned settlements, ukiacha maeneo machache wanayoishi foreigners hasa kwenye estates kwengine kote ni uozo, tena afadhali Dar ni kweli sehemu nyingi mpangilio mbovu ila hakuna vibanda kama maeneo mengi wanayoishi Wakenya ukiacha maeneo machache ya foreigners.
 
Back
Top Bottom