Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mhh ila hii misiba ya viongozi imeongozana kupita kiasi mpaka inatisha jamani.
Na ukifuatilia jamii forums ndo utadata kabisa, watu kila dk wanapost msiba ili ionekane covid imeshika hatamu, unajua siasa mby sn, kuna watu hawakufurahi ile technique ya Magu ya "No lockdown na kuhimiza kujifukiza" jinsi ilivyomaliza corona ya kwanza, yn siasa maji taka imewafanya mpk wanaombea mabaya nchi yao as if wao hawaishi humu.
 
Tatizo la wakenya ni ujinga wa akili, eti wanafurahia Kenya kuwa na bajeti kubwa kuliko nchi zote za EA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma tena nilichoandika. Nimesema kwamba nimefurahi jinsi IMF imeweka masharti kwamba bajeti isiongezeke.
 
Yeah
CEB42FDB-D5D4-4F71-9A05-F597A19480A8.jpeg
 
You can as well ban these other "Kenyan" new channels [emoji23] [emoji23]

Nyie akili zenu tumezishikilia mkononi soon tu mtaanza kutupongeza, kwn nani asiyejua kwamba Kenya ni nchi isiyo na msimamo? Kwa tafsiri nzuri ni kwamba Kenya ni nchi ya kimalaya malaya yn mnapambana kulazimisha corona ipo kwa wingi Tz utadhani kwenu hamna, hii ni tabia ya kimalaya.
 
Kenya tumekubali uwepo wa corona from day one wala hakuna siku kiongozi au mtu yeyote yule aliwahikutuhadaa kwamba corona haipo. Nyie mnaambiwa kirusi hakipo kwenu wakati viongozi wenu wanadondonshwa na kirusi chenyewe. Huoni kwamba nyinyi Ni vilaza?
 
They baptized corona and gave it a new name called "changamoto ya kupumua" all in an effort to deny the existence of corona! And "changamoto ya kupumua" kept killing people while the government criminalized the publication of such information to the public! Only a few days ago, Zanzibar's first VP opened up about his covid status and publicly said that he tested positive to the virus. Sadly, he died today!
 
Nyie akili zenu tumezishikilia mkononi soon tu mtaanza kutupongeza, kwn nani asiyejua kwamba Kenya ni nchi isiyo na msimamo? Kwa tafsiri nzuri ni kwamba Kenya ni nchi ya kimalaya malaya yn mnapambana kulazimisha corona ipo kwa wingi Tz utadhani kwenu hamna, hii ni tabia ya kimalaya.
38A7C33F-59BB-4B25-8595-1BC924A76C19.jpeg
035187DB-1A9E-4A9F-A3D8-94F43F1871BB.jpeg
61149999-FEB7-444F-8EB2-82E4D7A75A83.jpeg
0C6A4956-B15C-4AEC-A712-93C90C7FFC96.jpeg
74B286F6-F622-432C-85F8-B145DA8F08A0.jpeg
 
They baptized corona and gave it a new name called "changamoto ya kupumua" all in an effort to deny the existence of corona! And "changamoto ya kupumua" kept killing people while the government criminalized the publication of such information to the public! Only a few days ago, Zanzibar's first VP opened up about his covid status and publicly said that he tested positive to the virus. Sadly, he died today!
......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenifrahisha sana!!
Tunajilinda tu japo ndio kama unavyoona Siasa inazuia wataalamu kufanya, kusema,kinachostahili watu wasikie instead porojo na misamiati isioeleweka inaundwa
 
Kuna mambo mengine siasa na hisia za kijinga hazifai kuingizwa. This is about human health and involves an invisible enemy. I still ask myself what it benefited Magufuli to lie to his people about the existence of a virus like this one. Kwa kweli hapa alifeli vibaya sana
 
Back
Top Bottom