Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,979
- 27,984
Alafu launch ya Arusha ndio hii hapaHii hapa runway ya Arusha airport.View attachment 1710119View attachment 1710120View attachment 1710122View attachment 1710123




Alafu launch ya Arusha ndio hii hapaHii hapa runway ya Arusha airport.View attachment 1710119View attachment 1710120View attachment 1710122View attachment 1710123




Shukran sana kiongozi, hii ndio kazi yetu kuwanyoosha hawa jamaa wa kaskazini mana walikuwa wamemsaau baba yao.Mkuu kazi unayofanya ni kubwa sana. Usiache kutuwekea hapa vitu vizuri kila unapopata.
Kudos man.
Alafu launch ya Arusha ndio hii hapaHii hapa runway ya Arusha airport.View attachment 1710119View attachment 1710120View attachment 1710122View attachment 1710123




View attachment 1710146Road reserves zilianza kutafunwa na wahindi na wafadhili wa chama alipoingia Vasco Da Gama. Nakumbuka kuna wakati alipomrejesha Magu ujenzi X zilitembea rais kamtuma PM Pinda, Magu akakaza. Mwishowe kaingilia mwenyewe. Naskia Magu alitaka kujiuzulu busara ikatumika.Woii the twins beib, unajua nn nmegundua licha ya kukosa viongozi makini kwa muda mrefu lkn Watz tunaheshimu sana road reserves na ndiyo maana inakuwa rahisi ku impliment modern projects like BRT, onaView attachment 1709748View attachment 1709749View attachment 1709750View attachment 1709751
Alafu launch ya Arusha ndio hii hapaHii hapa runway ya Arusha airport.View attachment 1710119View attachment 1710120View attachment 1710122View attachment 1710123




View attachment 171014699% ya hiyo list ni vibanda.Nakupa precaution, soma hii uone list of Airports in Tz zen ukiona unaweza twende kazi
List of airports in Tanzania - Wikiwand
List of airports in Tanzania is a partial list of aerodromes in Tanzania.www.wikiwand.com
14 Floors should not be posted here and should not be called "Tower"Hii tower ipo pembezoni mwa ubungo interchange, ipo kwenye cladding stage.View attachment 1709743View attachment 1709744
Na hapa ni town???
No airport in Kenya can sit alongside with Zanzibar airport99% ya hiyo list ni vibanda.






povuu la damu......watu wanamaisha yao,,Hayo ndio yale tunayoyaita "maisha ya kuigiza"
Watz kw kulelewa mnapenda sana, hapo sasa aseme anatoka ndio atajua mikataba na wale ma bigpin ilikua ya kitumwa..
Acha huyo, hata yule boss wao pia anatumiwa na waliomuweka pale.huna unachokijua wewe
Kanavyoongea utafikiri kanajiweza vile kumbe utakuta ni ka slum dweller, Wakenya bhn wanachekesha sanaNa hapa ni town???






Hebu screenshot simu unayotumia kwnz isije ikawa ni Itel af unaleta dharau humuNa hapa ni town???






Umeshikwa nyeti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hebu screenshot simu unayotumia kwnz isije ikawa ni Itel af unaleta dharau humu![]()
Ahsante sana kwa hamasa hiyo mkuu. Huyo mdogo wako akidhamiria tu atakuwa mchumi mzuri. Mimi nilisoma huo uchumi kwenye chuo cha kawaida kabisa ila lengo langu kubwa lilikuwa kuwa mchumi mzuri. Huwa na-enjoy pia kuona watu wengine wakifanya analysis nzuri kwenye maeneo tofauti tofauti.nachelea kusema i can identify a smart person when i see one mdogoangu anafanya uchumi mlimani natamani aje awe na alaytical mind kama hii yako, kongole kwako kaka
Uliambiwa lini 2020? Wewe tulia tu uendelee 'kuchekshia' picha linavyoenda. Kesho steringi yuko Dar. Ule mradi wa stendi ya Mbezi naombea sana Mkuu aamke vizuri maana kuna utoto mwingi ulifanyika. Japo walirekebisha makosa ila hope uzinduzi wake hautatembea na mtu.Tuliambiwa tungoje 2020, tena imesonga hadi 2025?![]()
Picha ya juu ukikataa haina marking nakupeleka ukaite mvua na kung'oa visiki nje...Are the markings such microscopic that I need microscope to see them? Ebu nionyeshe signs za road marking hapa.
View attachment 1710004View attachment 1710005
Hii ni concrete .. na bado inaendelea na ujenzi... Mchanga unatumika wakati wa curing