Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani tunacho maanisha ni kama jamaa fukara anayeishi uswahilini sijui wapi...apate pesa kidogo tu halafu aende akanunue TV 80" inches akaiweke Kwa kijunba cha mabati...hivyo ndio mnaonekana yaanani ni ukalulu tu stendi hizo
sikulifahamu kumbe stendi ni ukalulu.....

ujenzi wa stendi ni vitu muhimu vya kawaida kwa mazingira ya transiportation...na isitoshe hiyo stand haikai for nothing hapo itamuingizia huyo fukara mapato zaidi na kupata muendelezo wa maisha yake ya kila siku na kuweza kumpatia tv nyingine ya inch 100
 
Sweden has one of the highest death rates per capita in the world. Sweden is a failure when it comes to combating Covid 19. Huwezi kuitumia kama example. Hata Tanzania mna very high death rate ila mumekataa kuhesabu wafu tu kwa kisingizio kwamba corona haipo Tanzania.
una ushihidi gani wa kidaktari....?

hebu tupe taarifa yako rasmi na uongeze sauti,,na sinkuropoka kwa usivyojua
 
Wakuu hii nchi inajengwa asikwambie mtu, wacha hawa viongozi wapumbavu wastaafu wamchukie Magu mana anawachoresha sn wanaonekana hakuna walichokuwa wanakifanya ofisini, hii hapa ni road ipo pale ubungo mawasiliano (nyuma ya ubungo interchange) mbele yake kuna bridge nimeweka hapo pichaView attachment 1709737View attachment 1709738View attachment 1709739View attachment 1709740View attachment 1709741

Nchi umeme ilikua shughuli hasa Dar, maji Dar yanauzwa na wahuni kama Nairobi nchi ya Nzige.

Leo hii, umeme haukatiki na mwezi wa sita kila kona ya nchi kutakua tumeconent, maji hali kadhakika, hospitals, za nguvu, mahakama mpya kubwa na nzuri nchi mzima, machinjio ya kisasa nchi nzima, viwanja vya ndege nchi nzima, stands za mabasi, masoko nchi nzima.

Yule mbulula Kikwete yeye alikua kuchekacheka tu akidai hayawezekani "Ufinyu wa bajeti, eeeh ufinyu wa bajeti" katoka zake Davos na wakina January Makamba, then Togolani Mavura. Wakati huo, Membe nae anapuyanga somewhere in Europe wakati katibu mkuu wa mambo za nje, Libareta Mulamula kako New York eti kameudhuria mualiko wa diaspora wakijadili "dual citizenship"

M****ther P***sy!
 
Wakuu hii ubungo interchange ni game changer, hapo ilikuwa kupita ni nusu saa au lisaa kamili lkn mm hapo gari yetu haikusimama kabisa, ona picha hizo ila hyo ya chini iliwekwa na mdau humu
IMG_20210222_113911_086.jpg
IMG_20210222_113917_840.jpg
IMG_20210222_113919_646.jpg
JamiiForums-744369846.jpg
 
Nchi umeme ilikua shughuli hasa Dar, maji Dar yanauzwa na wahuni kama Nairobi nchi ya Nzige.

Leo hii, umeme haukatiki na mwezi wa sita kila kona ya nchi kutakua tumeconent, maji hali kadhakika, hospitals, za nguvu, mahakama mpya kubwa na nzuri nchi mzima, machinjio ya kisasa nchi nzima, viwanja vya ndege nchi nzima, stands za mabasi, masoko nchi nzima.

Yule mbulula Kikwete yeye alikua kuchekacheka tu akidai hayawezekani "Ufinyu wa bajeti, eeeh ufinyu wa bajeti" katoka zake Davos na wakina January Makamba, then Togolani Mavura. Wakati huo, Membe nae anapuyanga somewhere in Europe wakati katibu mkuu wa mambo za nje, Libareta Mulamula kako New York eti kameudhuria mualiko wa diaspora wakijadili "dual citizenship"

M****ther P***sy!
Basi mkuu utauwa mtu, Magu anawatandika sasa
 
Ubabe upi kwa mfano, nani kakataa km ugonjwa haupo? Mwanzoni tuliumaliza ila umerudi tena cz hatuwezi kuacha kufanya mambo ya kiuchumi eti kwasabu ya corona, hatuwezi kuacha kupokea watalii na wageni wanaotuletea millions of dollars eti kwasabu ya corona, so in that way ugonjwa umerudi ila kwa sasa umerudi kwa adabu cz no one cares about it, upo na watu hatuvai barakoa na tutaumaliza mapema kuliko kipindi unaingia, hv ninavyokuambia umeshaanza kupotea.
 
Umeongea point kabisa🙂hata Sisi Tanzania ningemshaauri Rais wetu JPM nae achukue advise kutoka Uhuru muigai Kenyatta hiyo system ya kukopa iko poa manze chali yetu🙂
Sio kwamba kukopa ndio the best system ila kwa nchi corrupt kama Kenya, kukopa ndio njia pekee ya sisi wananchi kupata maendeleo. Hii ni kwa sababu tukiwaachia hawa mashetani wanasiasa kujenga miradi kwa kodi ya wananchi basi hakuna mradi utakaokamilika. Kwa faoro ako sahihi kwa hili. Actually Wachina wametusaidia sana na mikopo yao na engineers wao.
 
Sio kwamba kukopa ndio the best system ila kwa nchi corrupt kama Kenya, kukopa ndio njia pekee ya sisi wanachi kupata maendeleo. Hii ni kwa sababu tukiwaachia hawa mashetani wanasiasa kujenga miradi kwa kodi ya wananchi basi hakuna mradi utakayokamilika. Kwa faoro ako sahihi kwa hili. Actually Wachina wametusaidia sana na mikopo yao na engineers wao.
Shida ni system mbovu iliyoko Kenya na tatizo kubwa ni education system haimjengi Mkenya kujivunia ukenya wake, badilisheni system.
 
Shida ni system mbovu iliyoko Kenya na tatizo kubwa ni education system haimjengi Mkenya kujivunia ukenya wake, badilisheni system.
Shida sio elimu. Wakenya wamesoma sana. Hata Daktari mpasuaji wa ubongo Kenya ana ukabila. Shida ni siasa mbaya ya kikabila. Na hio itaisha tukipata rais kama Nyerere anayeleta watu pamoja badala ya kuwagawanya.
 
Shida sio elimu. Wakenya wamesoma sana. Hata Daktari wa ubongo Kenya ana ukabila. Shida ni siasa mbaya ya kikabila. Na hio itaisha tukipata rais kama Nyerere anayeleta watu pamoja badala ya kuwagawanya.
Huwezi kuona shida ya educational system ya kenya cz huwezi kuona msitu ukiwa ndani yake lazima utoke nje, na kiongozi mfano wa Nyerere hamuwezi kumpata cz wako wachache labda mngempa PLO Lumumba cz ndio waafrika wachache waliobaki wenye elements za kina Nyerere km Magufuli, lkn huyo Lumumba msingeweza kumpa hata kama angegombea kwasabu ni mjaluo.
 
Hicho hata sio kitu cha kufuta. Rudisha picha watu waone. Sio kitu cha kupata aibu. Ni kitu cha kujivunia.
Hivi vitu ni personal sn nmeweka ili kumuonesha mkuu lusematic kwmb nilikwenda kuangalia maendeleo, ukiweka humu watu wanaweza kuku trace, unajua sisi tupo humu jf katika majukwaa mengi na tuna maadui wengi mkuu.
 
Back
Top Bottom