Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
njoo utembee utajua ,,usipende marudio maisha yanaenda mbele mzeeAccording to research nimegundua Dar ni mji zero kabisa katika real estate, nimeulizia malazy humu wanaishi wapi wote wakasepa. Kando na vigorofa vitatu, kariakoo kwa warabu na wahindi, ubungo ya msaada hakuna tofauti na Mogadishu.



Daresalaam ni oyster bay na masaki tu