Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,394
- 7,242
Reli yote imewekewa sensor...gusa unateSasa badala hyo akili mtumie katika mradi wa sgr mnakuja kuficha nguzo..
Nani ataiba nguzo, ngojeni wapigaji waanze kuivamia sgr ndio mtajua umuhimu wa fence kw reli pia



