Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,979
- 27,984
Naona mshale imepenya. Sasa tukianza kulinganisha different places between Nairobi and Dar is slum si mtabaki mkilialia tu hapa?Daah aisee mpk inasikitisha kwa kweli, yn hz picha zinazunguka hz hz daily, hv Wakenya Nairobi ni hapa tu na vi estate baasiii.


