Swali serekali ya kenya inafaidika vp kwa muda wa miaka 30 ???Kama ingekuwa ni ya mkopo basi hakungekuwa na toll fees. Wewe umesoma biashara na unaniangusha.
Itafaidika kwa sababu haitakopa ili kujenga barabara hio. Investors watatumia pesa yao.Unaweza kutueleza serekali ya kenya itafaidika vipi?? Kwa miaka 30 😀😀😀
Nipo mkuu nilibanwa kichizi aisee 😅😅Mzee umepotea sana.
Sasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogocho👇👇👇👇 👇👇👇🙂Uko bize huwezi piga picha yet unashinda hapa ukitafuta picha za Kibera? Una akili wewe? Hivi hizi zimepigwa na tumbili? 🤣 🤣 🤣
View attachment 1708190
Aliekudanganya nani ina lower interest hvi nyinyi na ushuzi wa GDP mumefkia hatua ya kumkopa paul kumlipa john 😁😁😁😁 huo uchumi munaoimba kila siku uko wapi??Sio mbaya ikiwa new loan ina lower interest rates na favourable terms kushinda the old loan.
Boss haya ni mambo ya finance na sijui mbona huelewi. Kukopa loan ambayo ina lower interest rate ili kulipa loan yenye higher interest rate ni jambo nzuri. Ama unataka nikuonyeshe na example?Aliekudanganya nani ina lower interest hvi nyinyi na ushuzi wa GDP mumefkia hatua ya kumkopa paul kumlipa john 😁😁😁😁 huo uchumi munaoimba kila siku uko wapi??
🤣🤣🤣 Tunaijua vizuri Sana. Tunajua humo uswahilini ukitoka main road, Hamna barabara ya kami. I was shocked even in your high end neighborhoods kuna barabara za tope. Agree with the truth - Dar si ligi ya Nairobi.ndiyo maana tunawaambia kuwa hamuijui dar,,,,,
tuendelee hivyo hivyo![]()
tuendelee kuishi kwa picha za roof zenye kutu
Yaani posh areas zao zina barabara za matope? Dah!🤣🤣🤣 Tunaijua vizuri Sana. Tunajua humo uswahilini ukitoka main road, Hamna barabara ya kami. I was shocked even in your high end neighborhoods kuna barabara za tope. Agree with the truth - Dar si ligi ya Nairobi.
Relax, it was just proof that people actually take photos in Dar. Hizo picha mnazorudia constitute a very tiny section of Nairobi and you know it. Dar 90% ni Uswazi.Sasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogocho👇👇👇👇 👇👇👇🙂
Imagine, ebu chungulia pale Google maps ujionee.Yaani posh areas zao zina barabara za matope? Dah!
Oyaa hizi picha muwe mnatupaSasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogocho![]()
![]()
mkiwa mnapost.


Huwa wanasema ati hakuna slums Dar kumbe zipo! HeheheUko bize huwezi piga picha yet unashinda hapa ukitafuta picha za Kibera? Una akili wewe? Hivi hizi zimepigwa na tumbili? 🤣 🤣 🤣
View attachment 1708190
Ngoja nikuulize swali, GoK wanatoa sh ngp kwenye hyo road?Kama ingekuwa ni ya mkopo basi hakungekuwa na toll fees. Wewe umesoma biashara na unaniangusha.
Zero shillings.Ngoja nikuulize swali, GoK wanatoa sh ngp kwenye hyo road?
Kwahiyo gharama ya ujenzi analipa nani?Zero shillings.
Angola kwenye bb sio mchezo, kupata ushindi ni jambo kubwa sana.Huu ulikuwa mchezo wangu toka nikiwa mdogo sana from Haile Selassie to masaki mwisho kwny ile Court ya jeshi,baadae tanesco opposite na ubalozi wa marekani hongereni Angola wako fit sana.
Contractor mwenyewe ndiye anagharamikia ujenzi.Kwahiyo gharama ya ujenzi analipa nani?
Cheki showroom yao Rocky City Mall Mwanza dah hatari 😁😁
Bwahahaha!!jamaa kakasirikaYah lazima akajumuike na ndugu zake, nchi ya ombaomba na sio Tz haturusu kuomba ombaView attachment 1708069View attachment 1708071


