Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani ni vile dar iko down yaani nikiiona kibera bass najiona niko daresalaam
 
You know when TZ visit Kenya...they are so poor in their country that even when they come to Kenya they only visit slums so that they can Relate to what they have back at home... You will never hear of a Tanzanian who visited kenya talking of areas of like lavington,kileleshwa,runda, south c, langata muthaiga etc...kipato chao kama nchi kiko chini kweli...wananchi wao pia shida..so most of them you'll only find them in kibera, kayole and other slums... because this kind of life is what they can afford home and abroad....
utaishia kutaja estate tu......hapo ndiyo mwisho wako
 
ivi ikitokea paap......baina ya hizi nchi mbili zikakubaliana kuwa nchi moja yaani kila mtu aweze kuishi popote nakuanzisha makazi baina ya hizi nchi mbili,,bila unafki unadhani ni nchi gani itatoa watu wengi zaidi kuhamia kwenye nchi nyingine...?...

uongee ukweli wako wa moyoni usiongee unafki ,,maana hata ukiongea unafki nafsi yako itakusuta huko huko ndani kwa ndani
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande...na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
Mdada dancer wa Zuchu mweupe ndio yupi? Sababu naona kama wote weupe
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
80% of Kenyans wish this.....

Screenshot_20210221-124803.png
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
unaongea utopolo ,kwanza hauna uwezo wa kujiefford utawezaje kumove n'nje ya dandora
 
aisee watanzania namtaka huyu demu...dancer wa zuchu...huyu pekee ndiye atakaye nileta huko tz....Yuatwa Nani vile...atakaye niubganishia nitamkaribisha Nairobi wiki nzima Kwa gharama yangu...And then I'll take you to the tallest building in East Africa
 
Sasa boss mengine yote tumewatupilia mbali...ninini mnayo juu yetu....tumewashinda Kwa kila kitu.. apart from kuongea Kiswahili saaaana
ndiyo mmetushinda kila kitu,,,,,

ila kinachonifurahisha bado mpo hapa mnapiga makelele wakati mmetushinda kwa kila kitu...

what's wrong broda....?..umewahi ona wapi tajiri akipoteza mda mwingi kubishana na maskini...?

tungekuwa sisi WaTz tusingeneng'eneka wakati tunaushindi
 
aisee watanzania namtaka huyu demu...dancer wa zuchu...huyu pekee ndiye atakaye nileta huko tz....Yuatwa Nani vile...atakaye niubganishia nitamkaribisha Nairobi wiki nzima Kwa gharama yangu...And then I'll take you to the tallest building in East Africa
Umpeleke mbongo kwenye famous Nairobi attraction eti?

Screenshot_20210221-125435.png
 
Back
Top Bottom