Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Ukitazama idadi ya viwanda vipya vinavyojengwa haupati shida kujua tutakuwa wapi in 5-10 yrs. Miundombinu ndiyo hakuna hata haja ya kuiongelea.Sure mkuu yn km Magu hafai basi kutakuwa na sababu ya kuamini katika shetani [emoji48]
Leo nilikuwa naangalia miradi ya ujenzi bandari za Tanga, Mtwara, na ziwa Nyasa. It's spectacular, we are going to kill people with this president.