President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Hiyo ni Kisumu kwa clip[emoji91][emoji91][emoji91], Mwanza je? no comparison[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ata Kama wanasema Kisumu wamekula hela Governor professor Anyang Nyong'o babake Lupita Nyong'o ame perform sana in Kisumu, kazi yake inaonekana na pia yule wa Kakamega., pesa iko tu, tunakula na kutenda, Tanzania serikali masikini sana, vyanzo vya kutega uchumi ni hafifu sana, (weak revenue) wanafanya kazi kwa "kukaza vyuma", raiya wanateseka kisa wanajenga nchi kwa pesa za ndani [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ata ya kukula haipo, mnakwepa kulipa madeni mnalia lia msamehewe[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]., Wacha tukule na tujenge., #MwanzaKibokoLao[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Zimeliwa kama kawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tony254
Wewe ulitaka aandike made in kenya au??🤣Kuna mmoja alipost viatu akaandika " eti made in tanzania" hapo ndo nkajua kumbe nadeal na washamba. Haya made in kenyaView attachment 1706876View attachment 1706877
Mm nimekwambia siku utaniletea street kama hzi mombasa unitag nifunge acc mbona ni simple and clear 🤣🤣🤣 nashangaa unaandika maneno mengi ushahidi huna, tunataka evidence sio maneno na porojoHiyo ni Kisumu kwa clip[emoji91][emoji91][emoji91], Mwanza je? no comparison[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ata Kama wanasema Kisumu wamekula hela Governor professor Anyang Nyong'o babake Lupita Nyong'o ame perform sana in Kisumu, kazi yake inaonekana na pia yule wa Kakamega., pesa iko tu, tunakula na kutenda, Tanzania serikali masikini sana, vyanzo vya kutega uchumi ni hafifu sana, (weak revenue) wanafanya kazi kwa "kukaza vyuma", raiya wanateseka kisa wanajenga nchi kwa pesa za ndani [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ata ya kukula haipo, mnakwepa kulipa madeni mnalia lia msamehewe[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]., Wacha tukule na tujenge., #MwanzaKibokoLao[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣 ukhekhe mzee wa no one way street in mombasa naona upo kwenye siku zakoUmepanic eee[emoji1787][emoji1787]
Mwanza iko chini ya viwango, downtown yote utopolo
🤣🤣🤣🤣🤣 naona ushapanic sasaMwanza ilikukosea wapi mwarabu koko maana umeidhalilisha mpaka saa hivi nimejaza album ya kutumia kwa nduguzo. 🤣 🤣 🤣 kama unauchungu nenda kazae👩🍼👩🍼👩🍼
Mm nimekwambia siku utaniletea street kama hzi mombasa unitag nifunge acc mbona ni simple and clear 🤣🤣🤣 nashangaa unaandika maneno mengi ushahidi huna, tunataka evidence sio maneno na porojo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 siku utapata dampo site ya kisasa kama hiyo kenya nzima nitagMwanza yote tayri ni uchafu[emoji1787][emoji1787]
Mumeumbuka ndio manake kila siku una force ndio ionekane iko vizuri
Mwanza city beibeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena video ya juzi aisee[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hii hutaki iwe mwanza unatamani iitwe mama nginacity 🤣🤣🤣👇👇👇Mwanza yote ni utopolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aibu sana walai[emoji115][emoji115][emoji115]
Na hakuna city kenya inaitoa in out 🤣🤣🤣 ukitoa nairobi hakuna na hutapataInaitwa rock city, nyege nyegezi kwetu mwanza nyegezi 🎶, second largest in united republic 🤣 🤣 🤣
Tukusaidie kuimba ngoja nimuite diamond naona hasira zimekukamata🤣🤣🤣Inaitwa rock city, nyege nyegezi kwetu mwanza nyegezi 🎶, second largest in united republic 🤣 🤣 🤣
Anza na hapa kwanza ukimaliza alaf vua hio chupi👇👇👇🤣🤣🤣🤣Subutu nikuvue chupi, napiga kuua mimi
Mm nimekwambia siku utaniletea street kama hzi mombasa unitag nifunge acc mbona ni simple and clear 🤣🤣🤣 nashangaa unaandika maneno mengi ushahidi huna, tunataka evidence sio maneno na porojo
Coco Master kuna jamaa anajikuta jimbi la utopolo city hku[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Niwakimbie nyinyi ushuzi ambao 6 out of 10 hawali chakula mara tatu kwa siku 🤣🤣🤣 watu wananuka njaaMwarabu koko pia naye ka kimbia. Atarudi na mambo mingine
Nioneshe slum hapo uhahahhhahhha mumezoea slum sasa kila unachokiona ni slum🤣🤣🤣 30min video mtu anapost picha tatuVideo zake mwenyewe, utaambiwa " kwetu hakuna slums" kumbe slums ndo hizo wealthy neighborhoods.View attachment 1706900View attachment 1706901View attachment 1706902
Mm niwakimbie nyinyi 🤣🤣🤣 mzee wa no one way street in mombasa mamaeee ulaona watu washamba hawajawah kufika kwenye huo ushuziMwarabu koko kakimbia, ile video ilimchoma sana walai..
Hawa majamaa watawasumbua wasiowafahamu tu, siku hizi sio kila post wana comment
Mm nimekwambia siku utaniletea street kama hzi mombasa unitag nifunge acc mbona ni simple and clear 🤣🤣🤣 nashangaa unaandika maneno mengi ushahidi huna, tunataka evidence sio maneno na porojo
Haujui ndio wana amka, vitu vya zamani ndio kwa sasa ni ya ajabu kwao., hapo kwa viatu tulipita zamani sana [emoji23][emoji1787][emoji23], Kuna siku pia mtu kapost modern trucks za kuzoa takataka in towns and cities, Kama zile za kanjo kwa kushangilia, things we had from 90s, vitu za kitambo sana anasema Kenya havipo amefurahi kishenzi, nilijua Tz ndio wametoka porini juzi wanashangaa shangaa na mambo, flyovers zinawapa orgasm, hadi Diamond Platinumz mwenyewe kwa interview moja amebambika na flyover ya kwanza Tz[emoji1787][emoji23][emoji1787]., outside Dar hakuna any ya maana sana., Si umejionea Mwanza mwenyewe, hapo ata mtu alete Kiswahili haikomboi Mwanza[emoji1787][emoji23][emoji23], Dar pia watch drone views zote kwa youtube, no comparison with Nairobi at all!!, lakini wakiweka picha on carefully selected angles na zimelishwa filter they can only fool wenye hawajafika Dar., can't compare to Nairobi [emoji1787][emoji23][emoji23]Kuna mmoja alipost viatu akaandika " eti made in tanzania" hapo ndo nkajua kumbe nadeal na washamba. Haya made in kenyaView attachment 1706876View attachment 1706877
Mm nimekwambia siku utaniletea street kama hzi mombasa unitag nifunge acc mbona ni simple and clear 🤣🤣🤣 nashangaa unaandika maneno mengi ushahidi huna, tunataka evidence sio maneno na porojo
Sasa hutaki tuseme ukweli 🤣🤣🤣🤣 saudia ni 100% jangwa na sijwah sikia wakiomba msaada wa chakula badala yake hao hao wanawaletea nyinyi msaada wa chakula👇👇 tafuteni mtu aliewaroga nyinyiNyinyi huwa mkipigwa maeneo mengine huwa mnarudi kwa hili jambo moja tu kwamba Kenya hatujitoshelezi kichakula. Nchi ambayo 100% ya ardhi yake inapokea mvua inaicheka nchi ambayo 25% ya ardhi yake inapokea mvua japo ina uchumi mkubwa kushinda hii ambayo inapokea mvua 100% maeneo yote.
Wakat mwengine ni bora kukubaliana na hali sio munakuja hap munakaa kujidangany na GDP inayonuka ushuzi wa madeni alaf munajifany mumeendelea 🤣🤣🤣🤣 mumeendelea wapi leo mchina kachukua ajira za wakenya alaf useme mnaeza kula mara tatu kwa siku mukashiba subutuuuNyinyi huwa mkipigwa maeneo mengine huwa mnarudi kwa hili jambo moja tu kwamba Kenya hatujitoshelezi kichakula. Nchi ambayo 100% ya ardhi yake inapokea mvua inaicheka nchi ambayo 25% ya ardhi yake inapokea mvua japo ina uchumi mkubwa kushinda hii ambayo inapokea mvua 100% maeneo yote.