Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwahahaha.
Kenyatta family inawapiga kila upande.
😂😂😂😂😂. Na bado mtakaa kwenye slums mpaka akili zitakapokuja
View attachment 1697517
mtaishi mashambani na hali duni kote kote kama wengi wenyu mlivyo karne hii yote. Na hapa si ligi, ni ukweli mtupu. Yule amjuae Mungu wake pekee ndio atakombolewa, CCM ilishindwa kamwe.
 
Wakati tunaendelea na mnyukano, Afrika Kusini wamekataa vaccine ya AstraZeneca ambayo iliingia wiki jana. Walipozifanyia uchunguzi zimeonekana hazifanyi kazi kwenye kirusi cha Afrika kusini kilichobadilika.

Kwa mtazamo wangu naona sasa wameamua kumsikiliza Magu, maana mwaka jana walimbeza.
Habari hii haihusiani na Magu. Mnapenda kumpa sifa Magu hata mahali asipostahili kupewa sifa
 
Sisi tunaongea kuhusu Yanga na wewe unabweka kuhusu Simba. Nini mbaya na wewe? Sisi tunasema Yanga ina jersey mbaya.

Cc komora096
Jezi yanga ndo inaongoza kwa kununuliwa afrika mashariki,carlinhos rodriguez mtaalam kutoka angola kauza jezi 93242 kwa msimu huu tu pekee
..halafu we unaongea ongea tu hapa
 
safi sana,nimependa speed ya wachina....kumbe huwa wanatufanyiaga makusudi tunapowapa cash wanachelewa kimiradi ila mchakato ukiwa juu yao kwa pesa zao wanafanya kwa speed
Wachina wanajenga barabara hii 24 hours usiku na mchana. Usiku wanawasha floodlights na shift ya pili inaingia kuendelea na mjengo. Wanafanya kazi pia Saturday na Sunday. Hakuna kupumzika. Wachina ni hatari eeh baba.

Cc tuusan Geza Ulole
 
Usijisahaulishe mungiki,hiyo expressway ya mchina does not make you rich,kumbuka hamjatoa hata ksh 10 hapo..
What is PPP? Discuss,
How will it impact a national budget?., hapa najua haupati picha.,
How many kshs of GDP is lost on Mombasa road and Nairobi at large yearly or daily due to grid lock?
How much will expressway contribute to GDP directly and indirectly?.,
.,
 
Wachina wanajenga barabara hii 24 hours usiku na mchana. Usiku wanawacha floodlights na shift ya pili inaingia kuendelea na mjengo. Wanafanya kazi pia Saturday na Sunday. Hakuna kupumzika. Wachina ni hatari eeh baba.

Cc tuusan Geza Ulole
Hata wewe uki-invest $600 mln then una uhakika wa kuvuna zaidi ya mara mbili yaani $1.5 bln from fools with their lazy GoK giving a full guarantee to recuperate ur money if toll project fails, kwanini usifanye kazi kama punda ukihofia usije ukachelewa Bunge likaanza kuhoji legitimacy ya mradi mzima!
 
Kenya kwa kuiga iga Wazungu, kujenga barabara za kulipia wakati wananchi hawana Maji safi, umeme na huduma za Afya, Mara serikali ya majimbo kwenye Nchi masikini, Wamechezea katiba yao weee na kufanya Siasa kuwa ndo sekta ya fursa ya kipato maana kila mtu anaingia kwnye siasa na kufanya kuwa taifa la pekee Africa linalofanya siasa za kampeni kwa kipindi chote.
 
What is PPP? Discuss,
How will it impact a national budget?., hapa najua haupati picha.,
How many kshs of GDP is lost on Mombasa road and Nairobi at large yearly or daily due to grid lock?
How much will expressway contribute to GDP directly and indirectly?.,
.,
Mchina anawakamua hadi mavi,kuanzia kwa stone age sgr hadi kwa expressway..mtaolewa kwa kupenda vya bure
 
JPM ana maono anachosema kinakuwa kweli! Amekataa chanjo za magharibi kwa vile anaamini hazitibu na zina madhara mmemsema haujapita Mwezi, first vaccination delivery has got rejected!



Astrazeneca pekee ndio imekuwa rejected lakini zingine zinafanya kazi.
 
Astrazeneca pekee ndio imekuwa rejected lakini zingine zinafanya kazi.
evidence?





usibishe vitu ambavyo hujui mzee hamna vaccine iliyo-meet standards so far kutumika!
 
nyie ndo malazy yaani mchina atoke asia huko aje kuwajengea expressway na hamjatoa hata 10
Sasa wivu ni ya nini? Si hata wewe utapata fursa ya kuja Kenya kutalii na kutazama barabara ya juu kwa juu. Usitie shaka ndugu yangu. Tutakualika.
 
Back
Top Bottom