Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,136
nakuambia kila siku uache ubishi wa kipumbavu kabla hujabisha kitu do a brief search on a current situation on the subject! Watu wamepewa jabs wakakaa baada ya weeks wakapimwa wamekutwa na UVIKU19!Naongea kuhusu vaccine tatu kubwa zilizokubaliwa na European Union. Astrazeneca, Moderna na Pfizer vaccine.
India hawana sababu dhabiti ya kureject Pfizer. Wao wanacheza siasa tu.
COVID digest: Nursing home outbreak despite vaccination
Fourteen residents at a German nursing home have tested positive despite receiving two vaccine doses. Markus Söder has warned against lifting Germany's lockdown too soon. All the latest COVID news.