Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sababu gani uehehhehehehhehe 🤣🤣🤣 sasa hvi heshima itakuwepo sasa endelea kuichukia Ccm sasa
CCM hata usitaje humu., hiyo ni yako bro, your clips are clear, hauitaji kuongeza maneno ili kuyakweza., iko wazi tu. eti heshima😂😂😂😂
 
Wakati tunaendela na mnyukano, Afrika Kusini wamekataa vaccine ya AstraZeneca ambayo iliingia wiki jana. Walipozifanyia uchunguzi zimeonekana hazifanyi kazi kwenye kirusi cha Afrika kusini kilichobadilika.

Kwa mtazamo wangu naona sasa wameamua kumsikiliza Magu, maana mwaka jana walimbeza.
Ilikua ni lazima 🤣👇
 
Nasema mombasa ikitoka hapa nitag mm nifunge acc jamii forum hakuna porojo wala mama yake 👇👇👇👇👇😁😁😁😁😁

utarudia hizi mara ngapi bro?😂😂😂😂😂😂., same thing, different vlogers, na angles., now usiongeze maneno yako kamwe, wacha clips zako zijitetee tu.,😂😂😂😂😂 kwa kiswahili na umwehu hamna mpinzani, video clip is king for the debate., thank you for the clips., Eldoret size yake kabisaaaa😂😂😂., no more words
 
CCM hata usitaje humu., hiyo ni yako bro, your clips are clear, hauitaji kuongeza maneno ili kuyakweza., iko wazi tu. eti heshima😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CCm inawanyima usingizi hasa CCm ya magufuli manake hamulali hamuli mukashiba
 
CCM hata usitaje humu., hiyo ni yako bro, your clips are clear, hauitaji kuongeza maneno ili kuyakweza., iko wazi tu. eti heshima😂😂😂😂
Issue za siasa za Tanzania huzijui wewe. Achana na nchi iliyojiimarisha kisiasa. Kenya bado ni primitive country bado mnaongea ukabila, mambo ya stone age.
 
utarudia hizi mara ngapi bro?😂😂😂😂😂😂., same thing, different vlogers, na angles., now usiongeze maneno yako kamwe, wacha clips zako zijitetee tu.,😂😂😂😂😂 kwa kiswahili na umwehu hamna mpinzani, video clip is king for the debate., thank you for the clips., Eldoret size yake kabisaaaa😂😂😂., no more words
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbona hujibu sasa au niongeze mzigo 👇👇👇👇👇

Nyinyi watu mna peculiarities zingine za maajabu. Sasa kupiga nyungu ndio kufanya nini? Huo unakaa kama uchawi. Sisi Kenya hatuna mambo kama hayo.
we unawaza uchawi tu....

aliyekuambia kuwa ni uchawi ni nani ,,,
 
Issue za siasa za Tanzania huzijui wewe. Achana na nchi iliyojiimarisha kisiasa. Kenya bado ni primitive country bado mnaongea ukabila, mambo ya stone age.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 CCm ya magufuli inawanyima usingizi hawalali maskini sasa hvi wako sawa na zimbabwe kwenye umaskini
 
utarudia hizi mara ngapi bro?😂😂😂😂😂😂., same thing, different vlogers, na angles., now usiongeze maneno yako kamwe, wacha clips zako zijitetee tu.,😂😂😂😂😂 kwa kiswahili na umwehu hamna mpinzani, video clip is king for the debate., thank you for the clips., Eldoret size yake kabisaaaa😂😂😂., no more words
Uheheheheheh 😅😅😅😅 umebakia kutoa porojo na mapovu mbona hujibu sasa utabakia kutuonesha huu ushuzi 👇👇👇 pamoja na filter kukolewa lakini bado ushuzi unaonekana
A7BF11A1-0461-40B3-A1FC-5037A2746DD6.png
E3A08C4C-0744-4784-9F64-B7B5551FE416.png
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbona hujibu sasa au niongeze mzigo 👇👇👇👇👇

thank you very much., na usiongeze maneno yako from now onwards video zinajieleza tu., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 umenifurahisha sana., Tanzania.,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 CCm ya magufuli inawanyima usingizi hawalali maskini sasa hvi wako sawa na zimbabwe kwenye umaskini
povuuu😂😂😂😂😂😂😂 mwaga kabisaa😂😂😂😂
 
Uheheheheheh 😅😅😅😅 umebakia kutoa porojo na mapovu mbona hujibu sasa utabakia kutuonesha huu ushuzi 👇👇👇 pamoja na filter kukolewa lakini bado ushuzi unaonekana
View attachment 1697445View attachment 1697446
Wacha Mombasa ijitetee kwa video clip, maneno yako ni maoni yako., let the people see for themselves kama ulivyo weka clips za Mwanza., hakuna cha kiswahili na porojo hapa., let the videos do the talking bro., nimewacha pia Mwanza clips zijielezee.,
 
Back
Top Bottom