Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona barabara zenu hazina mistali, na hamna njia za waenda kwa miguu cc: komora096
IMG_20210208_120822_9.jpg
 
Hizi maana zote za funga hakuna hata moja inayohusu satellite kufungwa angani. Wewe unadhani rocket ikishafika angani na ianze kuzunguka dunia halafu iwachilie satellite halafu satellite hio ianze kuzunguka dunia hicho ni kitendo gani kama sio kurusha?
Tazama hapa


Toni naomba nikuelimishe kitu kimoja🙂kufunga inaweza ikawa na maana nyingine kama vile kukaza🙂kubana,au kushikilia kitu kikawa dhabiti/imara🙂
 
Satellite zikiingia kwenye orbit zitafungwa na kamba? Au zitafungwa angani na boriti na spana? Utafungaje satellite kwenye orbit?
Hicho kitendo cha kuifanya satellite kiwe imara ndio Neno funga/Bana nisawa nakusema mtu alichana mbuga hii ina maana zaidi ya moja🙂
 
tunawatawala kijamii et bado unashangaa kwa nini ligiyetu ni kubwa?
mie mbona sjui hata mchezaji 1 wa ligi yenu achilia mbali team zenu?
Timu za kenya usizijue, subutu
Labda uwe unajitoa ufahamu km kawaida yenu
 
Alaa!!kwhyo unakataa km hapa ndio mnapata unafuu lkn kuke kwngine huaga mnakula za uso..
Yani mnakuja exile huku
na huku bado tunawabana with facts, wao wakijitetea na porojo kwa wingi, some from blogs uchwara na kiswahili mingi tu, nimejifunza misamiati kadhaa humu😂😂 😂 😂 😂
 
thank you very much., na usiongeze maneno yako from now onwards video zinajieleza tu., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 umenifurahisha sana., Tanzania.,
Asante kwa uchungu siku nyingine ukija uje na heshima 😀😀😀 CCM achana nayo itakutoa nyongo bure alaf we bado kijana mdogo pambana na umaskini pambana na ugumu wa maisha kwa sasa 😅😅😅😅
 
Wacha Mombasa ijitetee kwa video clip, maneno yako ni maoni yako., let the people see for themselves kama ulivyo weka clips za Mwanza., hakuna cha kiswahili na porojo hapa., let the videos do the talking bro., nimewacha pia Mwanza clips zijielezee.,

Hakuna kitu naona cha ajabu juu ya hii 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇👇
Nasema mombasa ikitoka hapa nitag mm nifunge acc jamii forum hakuna porojo wala mama yake 👇👇👇👇👇😁😁😁😁😁





 
Hichi kiwanda cha chuma will be the first and only plant is Africa that processes raw iron ore into finished product steel. Kenya will no longer be importing steel. Ni kiwanda kikubwa hichi na hata kimejenga power plant yake kando.

Cc Geza Ulole
Sikujua kama kenya mna madini ya chuma. What's make you to think ndio kiwanda cha kwanza ukanda huu? Kina kiwango gani hicho kiwanda kiuzalishaji?

Bongo viwanda vya chuma viko vingi sana
 
Confirmed? Nilidhani tenda itatangazwa May au June mwaka huu. Kumbe kitu tayari!

tender bado.. mchina ndo atatoa hela.. it’s obviously makampuni yao ndo itajenga

mkianza kusikia Magu anaongelea SGR ya Isaka-Makutupora moja kwa moja hasa jiwe la msingi wa Isaka-Mwanza ujue mambo tayar kwenye ishu ya finance
 
Back
Top Bottom