😅😅😅😅😅 Geza Ulole
. Na wahindi nao wanatumia lolh.!! Watu wapo na technology za hyperloop sie tunashindana kwa SGR 😂😂😂 Africa nani ameturoga ,ila Kenyans mko na Safar ndefu sana diesel SGR Tena it's 120km/h 😂😂 et AE economic hurb dunia ikujua mtachekwa sana 😂😂😂
. Bora ya Egypt inaejitahid kuendana na dunia, EA unafki na kujisifia kwingi 😂😂 Kenyans wa kutumia vizuri adjective mpo.? (The biggest.. in Africa 😂😂 the most beautiful what not in Africa 😂😂 the longest I don't in Africa 😂 😂😂 ) jirani mnafurahisha sana .ukija ground Ni vumbi tu The best 007 sema na ndugu zako hao
Inaelekea ni bidhaa dhaifu kukubali kuandikwa kwa basi mkweche la Gor Mahia!Ni maziwa ya Brookside. Yaani hujui hilo. Hiyo ndio maziwa ambayo mngekuwa mnakunywa sasa hivi kama hamgezuia maziwa ya Uhuru kuja Tanzania
View attachment 1695760View attachment 1695761
Sisi tunaongea kuhusu Yanga na wewe unabweka kuhusu Simba. Nini mbaya na wewe? Sisi tunasema Yanga ina jersey mbaya.Japokuwa mimi ni fan wa yanga,lakini ngoja niwaeleshe wakunya
Mrembo komora kwa mujibu CAF jezi ya simba sc ndo jezi bora barani africa,elewa sio east bali africa yoote,gor mahia hata haijulikani ilipo
Wao ndio sponsors wa Gor Mahia. Hata pengine hio basi Tuzo ndio imenunua.Inaelekea ni bidhaa dhaifu kukubali kuandikwa kwa basi mkweche la Gor Mahia!
Nani anamuabudu wewe acha maneno ya kanga sasaHuyu Mwalimu japo nakubali alikuwa mtu mzuri ila huwa mnamuabudu sana.
tuzo kwenye basi mkweche?Tuzo ni maziwa na nikiwanda cha zamani sana kenya
Lakini tuzo imeisha sio kama zamani ndio walikua wanaongoza kwa uuzaji maziwa na ni kiwanda cha mhindi i thinkWao ndio sponsors wa Gor Mahia. Hata pengine hio basi Tuzo ndio imenunua.
Kila kitu kwao ni magumashi alaf sifa zao ukiskia utasema wako mbele ya paris 🤣🤣tuzo kwenye basi mkweche?
Hi I imemaliza utataalaf google hawajui yani mzungu apoteze pesa na technoloy asijue wewe kijana wa makuru kayaba unajua mlo mmoja kwa siku View attachment 1694578View attachment 1694579
Nikuambie kitu nnikiwa Kenya huwa sigusi maziwa yenu🙂 zina ujazo wa vitu flani,sijui soya au ingredient ghan nikiyagusa tu napata kichefu chefu,kwa hiyo mda mwingi ina nilazimu kunywa chai ya rangi🙂na si Mimi tu wengi tunaofanya nao kazi Wana lalamika pia mwanzoni kulikua na KCC maziwa Yao yalikua vizuri,mount Kenya ilikua nzuri pia,nikiwa huko nikajaribu gold crown kwa mda ilikua safi tu lakin saiv kiukweli hamna maziwa 🙂watu wamekua wajanja Bora maziwa direct kutoka kwa ngombe.Ni maziwa ya Brookside. Yaani hujui hilo. Hiyo ndio maziwa ambayo mngekuwa mnakunywa sasa hivi kama hamgezuia maziwa ya Uhuru kuja Tanzania
View attachment 1695760View attachment 1695761
Hujaona Brazil akikutana na Mexico huwa anapata tabu? Ni kwasababu Mexico huwa anakamia mechi.Majivuno tu haya lakini tukifika uwanjani nyang'au huwa tunawatandika vibaya sana. Kwenye Cecafa tumezoea kuwapiga kama watoto wetu.
Hapana huyo China co wa kujilinganisha naye mkuu, huyo anawanyorosha mpk wazungu sembuse sisi. Duh dunia inatuacha kwa mbaali sana . jirani wako na 120km/hsie tunataraji 160km/h while china is walking to 1000km/h
![]()





Yosef festo alikuambia uwache kuwa na hatred za kipuuzi naona bado inakusumbua.Sisi tunaongea kuhusu Yanga na wewe unabweka kuhusu Simba. Nini mbaya na wewe? Sisi tunasema Yanga ina jersey mbaya.
Cc komora096