Mr_X
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,170
- 2,337
Hujajibu swali languJersey zenu hata sticker hazina alafu unakuja kuulizia adidas![]()


hao ni Adidas?Hujajibu swali languJersey zenu hata sticker hazina alafu unakuja kuulizia adidas![]()


hao ni Adidas?Huyu ndo jamaa aliwakia wakina- Tony254 amewajengea Chinese first class!Hapana huyo China co wa kujilinganisha naye mkuu, huyo anawanyorosha mpk wazungu sembuse sisi![]()
hatari sana hao watotokomora096 nawe jipatie yako, sema ss shida ni kwamba weusi ulionao umevuka kipimo sidhani kama utapendeza, ila huu uzi haumkatai demuView attachment 1695641View attachment 1695642View attachment 1695643View attachment 1695644View attachment 1695645View attachment 1695646
Nyinyi huwa Mkiambiwa ukweli huwa mnaanza kunyamba nyamba na kulialia. Kuweni strong.Yosef festo alikuambia uwache kuwa na hatred za kipuuzi naona bado inakusumbua.
Umenielewa komora, koma kabisa kuongelea kikawaida kawaida tm ya Tz, we are too far from you![]()
YANGA DAIMA MBELE. komora kwa hili wewe itabidi uungane na wananchi tu. Kuipenda YANGA ni kujiongezea siku za kuishi. Karibu jangwani kwa wananchi![]()
MYTAKE
Majirani wakiambiwa Tanga port is poised to be the largest port in the region hupiga njuru ya kukataa! Ila ukweli utajulika mwaka huu in the first half pale ujenzi wa EACOP utakapoanza! hii gas pipeline ya kutoka Dar-Tanga-Mwanza nadhani GoT inaweza kuchukua loan maana so far debt to GDP ratio ipo chini ya 35%!
CC: Tony254
tunao sio wa Asili lakini bali kuna wiliohamia Tanzania toka miaka ya 1970 wengine wako Sumbawanga ila hatuna kabila la Kisomali! na huyu ni Myamwezi wa Kisomali toka Nzega na ni Naibu Waziri wa Kilimo! Vp roho inakuuma?Yaani Geza nyinyi pia mna Wasomali huko Tanzania? Dadeki. Sikujua hili.
The best 007 yaani mna Wasomali huko na mbona sikuwa nalifahamu jambo hilo?
Utajuaje wakati sisi hatuangalii kabila Wala rangi ya mtu ...si tunamjua ni mtz na amezaliwa tz hayo mambo ya huyu msomali sijui mhindi endelezeni kwenu huko sio tzYaani Geza nyinyi pia mna Wasomali huko Tanzania? Dadeki. Sikujua hili.
The best 007 yaani mna Wasomali huko na mbona sikuwa nalifahamu jambo hilo?



Asante. Nimejifunza jambo mpya leo.tunao sio wa Asili lakini bali kuna wiliohamia Tanzania toka miaka ya 1970 wengine wako Sumbawanga ila hatuna kabila la Kisomali! na huyu ni Myamwezi wa Kisomali toka Nzega na ni Naibu Waziri wa Kilimo! Vp roho inakuuma?
Karibu nime-save mlipuko wa mnyambo wa shuzi la ukabila lenye chembechembe la mharo!Asante. Nimejifunza jambo mpya leo.
Hebu tulinganishe Yanga vs Gor MahiaView attachment 1695611View attachment 1695612View attachment 1695613View attachment 1695614
Kama utalipenda hili dera njoo pm nakutumia buree huko msaHahaha