Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
mbona kidogo?
Nimecheka sana ulipoona kibano kwenye suburb ukaona ukimbie kabisa mombasa ukaenda kwenye ushuzi mwengine wa eldoret alaf ukapokea kibano kingine kutoka moshi hapo hapo 😁😁😁😁😁 mm nilishakwambia sehmu utanidanganya kenya ni lamu au turkana au wajir lakini sio mombasa au kisumu au ushuzi mwengineunatafuta pakutokea baada ya kunyoroshwa kama kawaida yako😂😂😂😂😂., sikuletei mapungufu ya Dar leo, ukweli ni ule ule, mashambani, cant lower myself to your level😂😂😂 masikini kaumia leo, pole bro si kwa kupenda kwangu, ni facts tu, hatuwezi badilisha kamwe, endelea kulia lia bro na vijisababu.,😂😂😂 leo umepata taabu sana., unajaribu video inashindikana., umetafuta Tz yote umekosa jibu unarudi kutafuta mapungufu ya Kenya ili ujikomboe kutokana na kichapo😂😂😂😂😂😂 mwaga povu hadi basi., raha tele leo
Satellite zikiingia kwenye orbit zitafungwa na kamba? Au zitafungwa angani na boriti na spana? Utafungaje satellite kwenye orbit?
1 million tonnes ni kidogo?mbona kidogo?
Uhehehehehe mbona umetoka huko au ulijua kuna bangladesh slum itakuumbua 🤣🤣🤣
Hichi kiwanda cha chuma will be the first and only plant is Africa that processes raw iron ore into finished product steel. Kenya will no longer be importing steel. Ni kiwanda kikubwa hichi na hata kimejenga power plant yake kando.Tony na wewe unakubali kubebwa malenge? Let's be realistic here! Hiyo cargo yote mta import kupeleka wapi? Kwa hicho kiwanda kimoja cha chuma?
Mji hauna maji na uko karibu na eti leo unashindanishwa na mwanza hvi watu muko sawa kiakili😃😃😃😃😃
So zikiingia kwenye orbit ni kurushwa!? Hebu acha hizo inayorushwa ni rocket. Neno funga halina maana moja hiyo. Nimekuambia hata assemble, organize hizo zinamaana ya kufunga. Ndio maana umeshangaa kusikia mtambo unafungwa sehemu Fulani.Satellite zikiingia kwenye orbit zitafungwa na kamba? Au zitafungwa angani na boriti na spana? Utafungaje satellite kwenye orbit?
Satellite yenyewe utaifunga vipi angani? Hebu nielezee vizuri ili nielewe. Na utatumia kifaa gani kuifunga angani?Haahaaa
.Funga mlango
.Wamefunga shule
.funga uzazi
.Kafungiwa (kucheza, kuimba nk)
.Funga Kamera ukutani
Inamaana unataka kusema bila kamba neno funga halipo kabisa si ndo hivyo?
😂 😂 😂 😂 😂siku ya nyani kukufa kila mti huteleza kweli😂😂😂., eti Moshi., wapi residential kama ya Mwanza ama Eldoret?., utapata tabu sana, Kericho ni nafuu sana.,
Uhehehehe huo ndo mji leo unafananisha na mwanza 😅😅😅😅 tuendelee kumsubiri yesu ashuke kwanza 😝😝😝😝😝utalia sana leo., am not sinking to your level., 😂😂😂😂., najua umasikini uliopo Mwanza na Dar., wewe leo umeshindwa kuleta what to compare unakimbilia negatives tu, kwa boxing inaitwa hitting below the belt baada ya kuona umelemewa na huna jibu mwafaka kutoka kwako.,😂😂😂😂 hadi raha., next?
Wacha mjadala uishe. Sawa satellite zimefungwa angani.So zikiingia kwenye orbit ni kurushwa!? Hebu acha hizo inayorushwa ni rocket. Neno funga halina maana moja hiyo. Nimekuambia hata assemble, organize hizo zinamaana ya kufunga. Ndio maana umeshangaa kusikia mtambo unafungwa sehemu Fulani.
Basi utakuwa mgumu kuelewa. Nakufundisha umebakia ubishi tu.
Kwahiyo hizo satellite zimerushwa!?
umapata taabu mr. google boy., unaonea Kenya kwa mitandao, facts zinakuumbua kila uchao, wenye hekima pale kwenyu wanakuhurumia tu., kuja pole pole bro., usipate ulcers bure., naona umekosa jibu kabisa ni vijisababu uchwara na uongo peupe., 😂 😂 😂 😂 , ongeza vijisababu vingine., mr google.,😂😂😂., leo umeteseka sana., nikupigwa left right and centre., facts never lie mr. Mwanza.,😂😂😂, nangoja jibu kama umepata kutoka Tz. Mr. google..,Uhehehhehe umeona kuna bakora mbele ukaona ukimbilie kwenye ushuzi mwengine unaitwa eldoret 😅😅😅😅😅😅 mm hakuna mji utanidangany keny labda lamu na turkana sijui wajir ndio sijafika
Umaskini gani wakufananishwa na zimbabwe 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇utalia sana leo., am not sinking to your level., 😂😂😂😂., najua umasikini uliopo Mwanza na Dar., wewe leo umeshindwa kuleta what to compare unakimbilia negatives tu, kwa boxing inaitwa hitting below the belt baada ya kuona umelemewa na huna jibu mwafaka kutoka kwako.,😂😂😂😂 hadi raha., next?
www.thebharatexpressnews.com
Sababu gani uehehhehehehhehe 🤣🤣🤣 sasa hvi heshima itakuwepo sasa endelea kuichukia Ccm sasaumapata taabu mr. google boy., unaonea Kenya kwa mitandao, facts zinakuumbua kila uchao, wenye hekima pale kwenyu wanakuhurumia tu., kuja pole pole bro., usipate ulcers bure., naona umekosa jibu kabisa ni vijisababu uchwara na uongo peupe., 😂 😂 😂 😂 , ongeza vijisababu vingine., mr google.,😂😂😂., leo umeteseka sana., nikupigwa left right and centre., facts never lie mr. Mwanza.,😂😂😂, nangoja jibu kama umepata kutoka Tz. Mr. google..,
Good. Na usiseme mjadala uishe sema umejielimisha. Acha ubishi wa kijinga kama hujui kitu usilazimishe.Wacha mjadala uishe. Sawa satellite zimefungwa angani.
am still waiting bado domo domo?😂😂😂😂 video clips zako zimeongea kikamilifu maneno yako ni hewa tupu kwa sasa., umejiaibisha bro.,😂😂😂😂., now niletee tu Dar tuendelee tukingoja electric train, hauna lako kamwe, umekamuliwa yote, hewa imekuishia, ni domo domo tu na kiswahili ndio umebakisha😂😂😂Uhehehehe huo ndo mji leo unafananisha na mwanza 😅😅😅😅 tuendelee kumsubiri yesu ashuke kwanza 😝😝😝😝😝
Nasema mombasa ikitoka hapa nitag mm nifunge acc jamii forum hakuna porojo wala mama yake 👇👇👇👇👇😁😁😁😁😁am still waiting bado domo domo?😂😂😂😂 video clips zako zimeongea kikamilifu maneno yako ni hewa tupu kwa sasa., umejiaibisha bro.,😂😂😂😂., now niletee tu Dar tuendelee tukingoja electric train, hauna lako kamwe, umekamuliwa yote, hewa imekuishia, ni domo domo tu na kiswahili ndio umebakisha😂😂😂