Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Density ya Kenya ni watu 80 per square kilometer, while Tanzania 47 per square kilometer.

Bado unabisha kuwa mnazaliana hovyo.
Huyo kilaza utabishana nae mpaka utachoka ni mjinga mmoja tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hua akikasirika utaona anaokota picha za google anakwambia ni dar๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
So wewe na mzungu nani mwenye akili kwamba mzungu kaona slum za dunia nzima hakuona ya dar au???
Tatizo lenu nyinyi munataka kulazmisha tufanane wakat haiwezekani tukafanana mzungu sio mwehu afunge sattelite hewani asione slum dar never everView attachment 1697333View attachment 1697334
The whole of it is a slum how can u point here or there na yote ni ushago/village na slum according to world standards, meaningful development is less than 20%.,of the whole sq km.,
 
The whole of it is a slum how can u point here or there na yote ni ushago/village na slum according to world standards, meaningful development is less than 20%.,of the whole sq km.,
So wewe na mzungu aliefunga sattelite hewani nani anaakili???๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

yani mzungu aone slum za dunia nzima asione za dar pekea yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
AF1704B3-5BBB-496C-A00C-90AA227C3A35.png
5CE02F6C-2C88-4A1F-AC78-3730A8B8C18B.png
 
Bado unalia na ichoboy kisa anawapa dawa vyema, huo ushuz unaoitwa mombasa mm sijui utanidanganya nn wakat mwanza kwenye suburb mombasa inaweza subiri miaka 20
Unaona vile umechemka, adrenaline imeamka deadly umekimbilia Mwanza, eti suburbs, yenye what Eldoret has Mwanza haina,, wewe unaeza uwa mtu wacha hasira na kujitetea kiholela, ukweli utabaki tu wewe endelea na vioja
 
If ukubwa wa eneo had any bearing on your population hamngekua mentioned in any extreme poverty index report, so it is not about the size ya ardhi it is the industrious ability ya raiya na strength ya economic output. The reason many desert countries are doing far better than green ones. Na Kenya is above you whether u like it or not. Aibu.
Tumalize kwanza issue ya kuzaliana hovyo. Maana unachanganya changanya tu madesa.

Kisha tutaongelea extreme poverty. Report zipo nyingi tu. Uwe mvumilivu nitakuwekea hizo report na usinikimbie nikianza kurusha taarifa.

Kubali kwanza mnazaliana hovyo.
 
So wewe na mzungu aliefunga sattelite hewani nani anaakili???๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

yani mzungu aone slum za dunia nzima asione za dar pekea yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃView attachment 1697335View attachment 1697336
Kwani satellite huwa inafungwa angani? Angalieni huyu. Satellite inarushwa angani.
 
Unaona vile umechemka, adrenaline imeamka deadly umekimbilia Mwanza, eti suburbs, yenye what Eldoret has Mwanza haina,, wewe unaeza uwa mtu wacha hasira na kujitetea kiholela, ukweli utabaki tu wewe endelea na vioja
Nakwambia siku mombasa itaitoa mwanza kwenye suburb mm nafunga acc jamii forum ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mutabakia kupost area za nyali ambazo zina mahoteli kibao then kwisha laini suburb ya kuifikia mwanza mzee utasota miaka 20 mark my words ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

mwenzako alipost picha moja ina hoteli kibao za nyali ni kamwambi mbona naona mahoteli kibao akaniambia hakuna hoteli nikamuekea ushahidi kwani alirudi tena ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Huyo kilaza utabishana nae mpaka utachoka ni mjinga mmoja tu
Hua akikasirika utaona anaokota picha za google anakwambia ni dar
Penda Dar tu ata kama ni ushago usmkane mpenzi wako, unapenda uso na kujataa matako., Dar is just Dar. Naifahamu wewe lia hadi basi., A village/slumish 80%., wewe pinga Hadi mwisho wa dahari., Mgonjwa
#MombasaCity.
 
Penda Dar tu ata kama ni ushago usmkane moebzi wako, unapenda uso na kujataa matako., Dar is just Dar. Baifahamu wewe lia hadi basi., A village/slumish 80%., wewe pinga Hadi mwisho wa dahari., Mgonjwa
#MombasaCity.
Nani mwenye akili wewe au mzungu alieona slums nairobi ila hakuona za dar๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Shida kubwa ni kwamba isinekane nairobi ina slums pekee ionekane na dar yani mulazmishe iwe hvo ili musionekane hamuna thamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

swali langu ni dogo sana nani mwenye akili wewe au mwenye sattelite hewani
 
Nakwambia siku mombasa itaitoa mwanza kwenye suburb mm nafunga acc jamii forum mutabakia kupost area za nyali ambazo zina mahoteli kibao then kwisha laini suburb ya kuifikia mwanza mzee utasota miaka 20 mark my words

mwenzako alipost picha moja ina hoteli kibao za nyali ni kamwambi mbona naona mahoteli kibao akaniambia hakuna hoteli nikamuekea ushahidi kwani alirudi tena
Ona unavyo toa jasho trying to describe what you don't know , Nyali can only be compared to Dar high end residentials., Mwanza can't come anywhere near Thika na Kiambu with akina Machakos residential., Wewe endelea kutoa jasho humu na kulia Lia tu unahema kweli., Outside Dar nothing substantial in Tz
#MombasaCity
 
Nakwambia siku mombasa itaitoa mwanza kwenye suburb mm nafunga acc jamii forum mutabakia kupost area za nyali ambazo zina mahoteli kibao then kwisha laini suburb ya kuifikia mwanza mzee utasota miaka 20 mark my words

mwenzako alipost picha moja ina hoteli kibao za nyali ni kamwambi mbona naona mahoteli kibao akaniambia hakuna hoteli nikamuekea ushahidi kwani alirudi tena
Hiyo takataka ni ya mombasa ndio maana anavutia kwake.
Ama hujanotice anapenda kuandika maneno ya kanga akiitishwa evidence ananandika maneno kibao yasiyo kuwa na maana
 
Ona unavyo toa jasho trying to describe what you don't know , Nyali can only be compared to Dar high end residentials., Mwanza can come anywhere near Thika na Kiambu with akina Machakos residential., Wewe endelea kutoa jasho humu na kulia Lia tu unahema kweli., Outside Dar nothing substantial in Tz
#MombasaCity
Nakwambia kama uko tayar twede kazi kwenye suburb kati ya mombasa na mwanza tuone kama hukuishia kupost hotels sasa hvi mwenzako alikimbia sikumuona tena akizungumzia hio mada ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

mkikasirika mnaenda google munaokota picha munasema dar hahahhahaha hii tabia sio ww tu alikua nayo mpaka yule collo mzii ndio maana hata sishangai ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom