Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukipost picha yyte ya Nairobi kwa sasa maeneo ya mjn lazima utaiona GTC huo wivu wala hautusumbui
Sisi tunamaeneo kibao tumepost huku tangu mwanzo,...so sioni hajayako kulia[emoji16][emoji16]
 
Kwa Estates Mombasa iko juu ya Dar. Port Mombasa iko juu ya Dar. Dar inashindia Mombasa CBD, majengo marefu na ukubwa wa eneo tu.
Unasema mombasa wakati Nairobi yenyewe haina vifaa kama hivi
images%20(1).jpeg
 
Sisi tulikuwa 10 million na nyinyi mlikuwa 11 million wakati tunapata uhuru. Lakini baada ya miaka 50 nyinyi mumetuzidi na zaidi ya watu 10 million. Sasa ni watu gani wanapigana kuni sana?

Nyie hamshibi ndiyo maana uzazi wenu uko mbali.
 
Hawa majamaa hawajui jinsi uchumi wetu ulikuwa trash taka taka ghasia kabisa wakati wa Moi. Kabla ya Kibaki kuchukua usukani, uchumi wa Kenya ulikua taka taka tu. Wanatuonanga tuko juu yao wanadhani hali ilikuwa hivyo kutoka zamani ila Kenya ilianza kupepea kuanzia 2002 ulivyosema. Tangu huyo mzee mjinga aondoke, Kenya hatujaangalia nyuma.
Mika ya 80s, 90s - 2002 uchumi wa Tanzania ulikuwa juu ya Kenya. Alafu utaskia wakikuambia tuliachiwa uchumi bora na beberu.
 
Back
Top Bottom