Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo takataka ni ya mombasa ndio maana anvutia kwake.
Ama hujanotice anapenda kuandika maneno ya kanga akiitishwa evidence ananandika maneno kibao yasiyo kuwa na maana
Mwenzake alikimbia humu ndani mbona 🤣🤣 na kama anajiamini ajaribu nimube manake mombasa anafkiria atanidanganya nn huyo
 
Utateseka hadi basi, leta na Kibera pia ukweli ni pale pale, haufichiki sijaona mabadilko yeyote., Weka next point ya kujitetea nione
Sio kibera pekee šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡ hzo zingine wanaishi nguruwe au
Mathare
Makuru kayaba
Kariobangi
Kisumu ndogo
Kayole
Dandora
Baba ndogo
Fuata nyayo
Kawangware
Huruma Etc
0C4FAE05-DF1E-45CF-A3F0-BF8665009A85.png
 
Defend Tz with congrete evidence., najua haupati.,uta tapatapa tu google, yote mazuri mulishamwaga humu , wewe endelea kulialia tu, am all yours.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na bahat nzuri ni media zenu zime report ingekua za tanzania mungesema tumewaonea
F7F3B57B-02FD-4AAF-AF08-FCD8683A0B04.jpeg
27D90FFE-B3ED-4ABC-88FA-E4A1A47AEB8A.jpeg
E0C396D9-7AD1-4616-AEDC-FD4D718E972E.jpeg
66264675-F774-4C07-B35D-563F7199B94E.png
 
Nyinyi watanzania saa zingine huwa mnaharibu kiswahili sana lakini hataki kukosolewa. Hata nimenotice huwa mnapenda kusema eti "mtambo utafungwa kwenye bwawa la Julius Nyerere." Sasa mtambo utafungwa vipi? Na kamba?
Tatizo lako Tony254 unataka kulazimisha kitu ambacho hukijui. Satellite huwa zinarushwa kutoka ardhini kwenda angani hicho ni kitendo cha kwanza. Kisha hufungwa ndio maana zipo kule angani zimetulia. Yaani satellites zimefungwa angani.

Kurusha ni kitendo cha kusafirisha. Lakini mwisho wa siku hufungwa ili zianze kufanyakazi.
 
Defend Tz with congrete evidence., najua haupati.,uta tapatapa tu google, yote mazuri mulishamwaga humu , wewe endelea kulialia tu, am all yours.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nilijua hauna lolote from TZ to defend your position, hadi raha, endelea kulia lia., next? šŸ˜‚ šŸ˜‚ šŸ˜‚
šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ‘‡šŸ‘‡šŸ‘‡
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nyinyi watu mna peculiarities zingine za maajabu. Sasa kupiga nyungu ndio kufanya nini? Huo unakaa kama uchawi. Sisi Kenya hatuna mambo kama hayo.
Si nyie wazungu wazee wa paracetamol,aspirin na maramoja😊mtu akipata homa kidogo ana meza panadolšŸ™‚Sisi wa wazee wa tiba asili,tunavo ongea saiv nimejifukiza combination ya mchaimchai,tangawizi na karafuušŸ™‚ na kushushia na chai ya rangi šŸ™‚mapafu yamefungukuka kama ya farasi najiskia fitišŸ™‚
 
Alijua kuna kibano mbele
Huwa nawashangaa sana wabongo wanaomuambia eti yuko tofauti na wakunya vilaza wengine wakati ni kilaza kama wakunya wengine tu.
Utofauti uliopo ni wa IDs tu ila ukilaza na ujinga ni kama wakunya wenzake tu.
Nimeaha quote hata akifuta tutajua alikuwa anaongea nini.
Tatizo la Tony254 kujifanya kufahamu kiswahili zaidi ya watanzania ambao kiasili ni waswahili.

Eti yeye kwa mawazo yake kufunga kitu ni kwa kutumia kamba pekee.
Tuwasamehe tu bure. Tatizo lao ni much know sana.
 
Huwa nawashangaa sana wabongo wanaomuambia eti yuko tofauti na wakunya vilaza wengine wakati ni kilaza kama wakunya wengine tu.
Utofauti uliopo ni wa IDs tu ila ukilaza na ujinga ni kama wakunya wenzake tu.
Wakenya wote akili zao zinafanana. Tony254 kwa sasa ananiogopa kweli. Tangu nimpige kipindi kile aongee kuwa yeye ni accountant nikamueleza sisi hatujifunzi kitu kimoja.

Wakenya wote akili zao zinafanana wazungu wamewapiga chanjo ya virus ambayo imeharibu DNA yao.
 
Mzungu aliondoka (ga) na akili za wakunya na amegoma kuwarudishia.
Ndio maana bado anawatawala.
 
Tatizo lako Tony254 unataka kulazimisha kitu ambacho hukijui. Satellite huwa zinarushwa kutoka ardhini kwenda angani hicho ni kitendo cha kwanza. Kisha hufungwa ndio maana zipo kule angani zimetulia. Yaani satellites zimefungwa angani.

Kurusha ni kitendo cha kusafirisha. Lakini mwisho wa siku hufungwa ili zianze kufanyakazi.
TobaašŸ™„jamaa kawa mwalimu wa Kiswahili 🤣🤣 Kiswahili Sisi tunakizungumza tangu wakati uleešŸ™‚mpaka sahiv Venus naomba umpe lesson ya maswali mawili matatu tuone Kati ya Sisi na hao wapi Kiswahili KipošŸ™‚
 
Back
Top Bottom